Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

nna week ya tatu na bleed tu yaan napata siku zangu.baada yakumaliza mp nilienda kukutana na mpenz.baada ya hapo ninableed mfululizo.jaman anaejua shida anisaidie
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunaiomba serikali iweke wazi kwamba kumudumia mama mjamzito anapokwenda kiliniki kuwa nihela imekuwa kawaida sasa kwa hosptali zetu kuwatoza fhedha wamama wajawazito wanapokwenda kilini,kati ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani msaada tutani. Mwanagu anasaga sana meno akiwa usingizini. Nini tatizo au tiba yake nini mwenye uelewa tafadhali nisaidieni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
UTAFITI mpya wa kitabibu umebainikuwa saratani ya shingo ya kizazi, inasababishwa pamoja na mambo mengine na ngono kama ilivyo kwaugonjwa wa Ukimwi, madaktari bingwa wa magonjwa ya maradhi hayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF jamani mimi nina sumbuliwa na tumbo sana huwa linajaa hata nikila kidogo, tumbo lina jaa gesi sipati choo vizuri maumivu ya kibofu yani tafrani nimejaribu kwenda hospitali nimeishia...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Ana ujauzito wa mwezi mmoja.,kichwa kinamuuma sana,anachoka,viungo pia vinamuuma.Anatamani kumeza dawa ila amekuwa na hofu maana hajajua dawa ambazo zitakuwa salama. Amepima malaria...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
habari za kwenu, itikadi imezingatiwa,, , , ni kwa kitambo kidogo tu nimepotewa na mzee moja rafiki angu wa karibu,, ambaye amepotea kwa cancer ya prostate,,, Mungu ailaze roho yake mahali pema...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtoto wa kiume akikatika kitovu,na kikadondokea katika sehemu zake za siri,anaathirika?nasikia anakuwa si rijali akuwapo,je kunaukweli?
0 Reactions
19 Replies
8K Views
MIDADI husababishwa na nini? Je ushawahi kupata hali hiyo? Any idea.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Happy New Year JF family. I need assistance from any body who knows what medication can be used to help treat an 'intractable' dry cough that has resisted, cough syrups (even those with codeine)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Totally blind mice have had their sight restored by injections of light-sensing cells into the eye, UK researchers report. The team in Oxford said their studies closely resemble the treatments...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Habari JF Dr, Shida yangu ndogo ila sasa naona imeanza kunikwaza na ninakuwa na wasiwasi, Nikiwa nacheza mpira nilianguka na kujizuia na mkono wa kushoto ,hivyo ukashituka(sina hakika ,ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
VIMAX KAPSUL PEMBESAR PENIS Vimax Kapsul Pembesar Penis Alami Adalah Produk Herbal Alami Berupa Kapsul Yang Berkhasiat Untuk Menambah Panjang Dan Lingkar Penis,,Vimax Capsule Juga Berfungsi Untuk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar zenu?? kuna ktu kinantatza, eti kipmo cha DNA kinaweza tumika toa matokeo ya uchunguzi endapo bado mtoto akiwa tumboni mwa mama yake?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mimi nina wasiwasi na chanjo hizi ingawa sio daktari. Ninaomba ushauri wakina kutoka kwa wenye ujuzi hasa suala la chanjo hizi mpya za kichomi na kuhara. Ninachojua ni kwamba kuhara ni hali ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu nyote? Samahani, embu naombeni mnieleweshe sababu za mtoto au mtu mzima kuwa na kitovu kilichochomoza na kuwa kikubwa.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wadau naomba kufahamishwa kuhusu sun block lotion,nataka kununua,maana naona mionzi ya jua inaniumiza sana.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
hi jf...naomba kufahamishwa maeneo kwa maana ya maabara hapa dsm ambapo upimaji wa cd4 unafanyika privately na kwa bei nafuu...less than 50,000..asante
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Mwenzenu ngozi yangu ya uso imepata madhara ya mionzi ya jua. Nimetumia sun block za albino tatizo bado.Anaejua tiba.
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Wadau naomba msaada mtoto wangu wa miaka 4 na niwa kiume hapendi kula chakula chochote zaidi ya chai na mikate ya boflo.Ukimlazimisha kula kwa nguvu anakula kiasi na baadae anajitapisha...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Back
Top Bottom