Wakuu good evening.
Natumai mpo swalamaaaaaa na utanipa ushauri.
My Lil' Man is almost 4 months. He was a big baby at birth na namshukuru Mungu tunaendelea vizuri. Sasa basi he sweats alot...
Wanajamvi nipo huku moshi kumalizia kuselebuka na masikukuu ya mwisho wa mwaka sasa nahitaji daktari wa meno kwa ajili ya mama yangu , tafadhali kwa mkaazi wa moshi anijuze hospitali nitakapompata...
Kuna madhara gani yanayoweza kumpata mtu anapoingia mapema kwenye chumba ambacho kilifanyiwa fogging au fumigation? je madhara yakoje kwa mwanamke mjamzito? kuna namana yoyote ya kuthibitisha hewa...
Nasumbuliwa sana na nyongo iliyozidi,dalili kubwa nilizonazo ni kucheuwa kitu kichungu sana, loss of appetite,kichefuchefu,tumbo kujaa gas, na tumboni nahisi kama kuna kitu kinazunguka.
msaada...
Wana Jf,
Naomba kila mmoja ajaribu kuvaa huu uhusika, kisha nipe ushauri.. Mke ana mtoto wa miezi mitatu lakini kapata ujauzito na sasa wiki tatu, utafanya nini wewe kama baba au mama? Ushauri...
Habari zenu!!
Naombeni msaada wenu wa hasa kwa wanaoelewa zaidi, mm ni msichana mwenye kufanya shughuli zangu kati ya Tanzania na Zambia,usafiri ninaotumia kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni...
mama yangu mzazi,anasumbuliwa na maumivu makali ndani ya mfupa kuanzia kiunoni hadi kwenye goti,kwa maelezo yake unauma kama kidonda ndani ya mfupa, ameenda hosp kapiga x ray wanasema kuna...
Tetesi ya dawa ya gojwa sugu liualo watu takribani ni watu million moja duniani ipo njiani kukamilika.tetesi hizi zikitolewa Ajazeer kama kituo maalumu cha kulushia matangazo kimedai kuwa kuna...
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kupiga mimba mwanamke mwenye mzunguko mrefu siku 40, yaani akipata hedhi ya kwanza anakaa siku 40 anapata hedhi nyingine tena huyu nitamliaje timing? Kila...
Mimi ni mpenz sana wa nyama ya kuku hasa kuku wa kienyeji.Nimekuwa nikila nyama hyo napenda kula mpaka ngozi lakini nimesikia kwa baadhi ya wadau wakisema ngozi ya kuku siyo nzuri kiafya kuila iwe...
Ndugu zangu!
Nakuja kwenu kutaka ushauri wa kitabibu kwa hili tatizo linalonikabili!
Kwa muda sasa napata maumivu makali ya moyo ambayo muda mwingine inapelekea hadi nakosa pumzi, na mbaya zaidi...
Mama mtu mzima afiwa na mme wake takriban miaka 13 iliyopita. Sasa toka katikati ya mwaka jana amekuwa akigonjeka kweli kweli. Sasa baada ya Mtoto wake moja kumpeleka hospital kwa vipimo, majibu...
Habari zenu wapendwa,
Natumaini wote mu wazima wa afya nawatakia heri ya mwaka mpya wote. Mwenzenu nina tatizo nina mtoto mdogo wa umri wa miezi kumi (10/12), tatizo toka nijifungue kila siku...
mwanzoni hakuwa hivyo, ila sikuwa kuishi naye kwa muda mrefu akiwa hana mimba, sasa nashindwa kuelewa alificha makucha au ni kwa sababu ya mimba! Na mimba yenyewe ni kubwa. Mwenye exprience...
CALCIUM
Calcium-rich foods include milk, cheese, and yogurt; vegetables like kale, broccoli, and Chinese cabbage; and canned sardines and salmon with soft bones that you eat.
IODINE...
Kheri za sikukuu wandugu.
Nina mzee wangu ana tatizo la kuwashwa sehemu zake za siri kwa ndani na kupata maumivu makali,tumekwenda kwa baadhi ya hospitali hapa DSM bil amafanikio,je kuna mtu...
JF Doctor heri ya mwaka mpya!
Wakuu naombeni ushauri jamani ni kuwa siku ya mwaka mpya mke wangu alijifungua katoto ka kiume kakiwa na 4.5kg jambo lilioongeza furaha nyumbani ukichanganya na mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.