Wakuu,
Mara nyingi nikipewa dawa za minyoo huambiwa nitumie asubuhi kabla sijala kitu chochote. Natambua kuwa huo ni muda muafaka kwa assumption kwamba tumbo linakuwa empty kwa maana kwamba...
Kwenye miaka ya 80 na 90 nilikuwa nabugia kilaji sawasawa tena bia kama Safari ilikuwa haifai kwangu mbele ya Kibo, Lion, Uhuru, Serengeti, Castle na ze Kick.
Hivi karibuni bia hizo zinanikataa...
In a stunning look at the medicinal properties of marijuana use, a study published in the American Journal of Epidemiology has found that obesity rates are lowered by roughly one third in those...
Na Chamosi, H.J.
BAADA ya kuona kwa muhtasari faida au umuhimu wa mafuta mwilini, ni vyema tukafahamu tutayapataje au tutaupatiaje mwili wetu mafuta hayo. Kwa kukukumbusha ndugu msomaji, ni wewe...
Jamani wandugu nimekuwa na malaria isiyoisha, yani simalizi mwezi cjaugua malaria zaidi ya mara mbili, nimeshacheck full blood picture hakijaonekana kitu zaidi ya malaria, msaada pls.
Most of us thank sunlight in terms of natural healing for one thing: the sunshine vitamin vitamin D. But cavity- and cancer-preventing vitamin D isnt the only reason to spend time in the sun...
Jamani doctors poleni na majukumu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, kwa mda wa mwezi mmoja nimekuwa nikisumbuliwa na mafua hasa nyakati za usiku ninapolala na asubuhi ninapoamka, nimejaribu...
Ameshangolewa Meno saba hadi sasa, ni binti tu wa Miaka 25.Jamani wadau saidieni kumshauri hapa dawa gani sasa apate ili yasiendelee kumwuma hatimaye kung'olewa.
Habari,mpenzi wangu amekua akilalamika kuumwa na tumbo kila mara baada ya tendo,tumbo hua linamuuma chini ya kitovu.she iz 22yrz na wala hatutumii nguvu kwenye tendo,some times goli moja tu na...
kuna jino lilikuwa linanisumbua la chn moja na la juu moja opposite tu! nikaenda kung'oa la chn hospitali! la juu nikaweka dawa flan yakienyej ili likatke katke hapo baadae, dawa hyo alinipa...
Kuna baadhi ya watu hupendelea kunywa kahawa chungu saa za jioni.Mimi nimejaribu kunywa,lakini nikinywa vikombe vinne vidogo inanisababisha nakosa Usingizi kabisaa.Je,haina madhara na ina kitu...
Nimekuwa nikipata tatizo la kutopata choo kwa muda mrefu sana naweza kukaa hata wiki nzima bila kupata choo bt nakula vizuri kawaida milo 3 sijui hata hicho chakula kinaenda wapi nimeonana na...
Nimeona mabango kwenye zahanati na hospitali yanayowashauri watu wanaopatwa na kikohozi kuwa kikiendelea zaidi ya wiki mbili wakachecki kifua kikuu. Kulingana na utafiti uliofanywa hivi karibuni...
Dr mimi nna tatizo nkivaa viatu miguu huvimba maji baada ya mda kidogo uvimbe hutoa maji na kuacha vidonda na mabaka katika nyayo za miguu! Dr. tatizo langu linantesa sana naomba unsaidie kutatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.