wakuu naomba mwenye uelewa wa athari za mirungi atueleze,ingekua vizuri akaelezea athari za mda mfupi na mda mrefu,pia kama ina madhara makubwa kihivyo mbona nchi jirani ya kenya imeruhusiwa?ina...
Nimeanza kuugua tarahe 14/01/13,baada ya kusikia maumivu makali ya kichwa,mafua makali pamoja na kukohoa kwa hapa na pale,siku inafuatia nikaenda kupima malaria nikaambia iko 2,nikachukua dawa...
Jana nilikuwa na ndugu kadhaa rose garden tunabishana kuhusu uwezo wa mtu mzima kupata malaria 500
katika mjadala alitokea kijana mmoja aliesema amefanikiwa kusoma muhimbili chuoni aka disco mwaka...
Miaka ya nyuma sikua na tatizo hili lakini kuanzia mwaka 2008 niliporudi toka makambako nkapata kifua kikali sana kilichinisumbua takribani miezi miwili.Nilpofanikiwa kukitibu likaja tatizo...
Wadau
Naomba kujua ni vipi unaweza kupunguza ulaji wa kupitiliza [ULAFI] je kuna njia yoyote tiba ama namna ya kupunguza ulaji?
Hata baada ya kucheki minyoo na tumbo?
Poleni na majukumu wapendwa! Wiki iliyopita niliandka thread hapa kuomba ushauri juu ya tatizo la kusumbuliwa na jino. Nilipewa ushauri na Mzizi Mkavu juu ya kukinga mkojo wangu na kusukutua kila...
Habari wadau,
Naomba kufahamishwa kuhusu huu ugonjwa, unatokana na nini dalili zake n.k
Kuna my friend kafariki juzi (R.I.P buddy) alkwenda hsptl akaambiwa ana fangasi ya ubongo coz alikuwa...
Habari wadau-
Nimeona post nyingi za kupunguza unene/uzito. Nimepewa diet plan na rafiki yangu so thought would share it with you - it is said to work well when accompanied with a daily 30 MIN...
kwa kawaida huwa ninapata hedhi baada ya siku 27 au 30, nimajaribu kama miezi mitatu kupata ujauzito ila naona hola. naombeni ushauri hapo ni siku zipi sahihi za kupata ujauuzito. pia naweza...
Ndugu zangu poleni na majukumu., naomba mnisaidie kwa mnaofahamu madhara ya kutumia spirit sehemu za siri baada ya kunyoa.Kuna rafiki yangu alimwona msichana wake wa ndani anajikuna sana...
Kwa kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.Safari za mwisho wa mwaka,zimenifanya niigundue hospitali hii:Ambapo mambo yake ni kinyume kabisa na taratibu za Wizara ya Afya.Wahudumu huingia...
WAKATI wasanii wakubwa wa kimataifa wakiaminika kuwa kioo cha jamii na mfano bora wa kuigwa na watu wengi, kitendo cha msanii Beyonce Knoweles wa Marekani kukubali kuwa balozi wa kinywaji cha soda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.