Jamani mwenye kujua mistari mieupe wanayokowa nayo akina dada mapajani.hips na
kwapani inatokana na nini na pia dawa yake nn? anisaidie! Mwenzenu nikiiona ile, hata kama
CHICHARITO alikuwa yuko...
Heshima yenu wanajamii
Jamani kama mnavyojua huu ni msimu wa joto
mimi nimeoa na nina mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka miwili
kwa muda mrefu nimekuwa nikivumilia kutumia feni hasa wakati...
Kwa kawaida upigaji wa miayo huashiria kuchoka kwa mwili, akili au kujisikia kuchoshwa na jambo au hali fulani. Hali hii hutokea bila kutarajia wala haiepukiki, kama ilivyo kuhema. Kwa mujibu wa...
Heshima zenu wakuu,Kuna mzee wangu flani anatarajia kwenda ujerumani for treatment and medication! Ameniomba nimtaftie cardiologist mwenye uzoefu mkubwa! Kwahiyo wana jamvi Mwenye uelewa tafadhali...
heshima kwenu wakuu.
Naomba kuelimishwa juu ya tohara kwa wanaume.
1. Kuna athari gani ya kwa mwanaume kutotahiriwa
2. Madhara gani atapata mwanamke kwa...
nisaidieni wadau.hivi ina weze kana kweli ukawa na mahusiano ya kimapenzi na mtu alie athirika na usifahamu kama ameathirika then uende kupima halafu ujikute wewe upo safi kweli?
Leo nataka nitoe mada hii kuhusu fructose. Hii ni aina ya sukari inayopatikana kwenye matunda mbalimbali. Kwa kawaida kuna aina tatu kuu za sukari (simple sugar au monosaccharides) nazo ni...
Jf doctors naombeni msaada wenu juu ya madhara yatokanayo na kutumia sabuni mara nyingi kusafisha sehemu za siri(uke). Binafsi huwa nafanya hivyo ila kuna mahali wadada walikuwa wanaongea kuwa ina...
Dear doctors, I was once told by some colleague that there's a relationship between pneumonia and flu. The colleague said that flu can develop into pneumonia if the flu viruses find a chance to...
His name is Prof. Isaiah Ibeh and he is the Dean, School of Basic Medical Sciences, University of Benin. Prof Ibeh yesterday Tuesday January 8th announced the development of a new drug that can...
Wadau wa Jukwaa la JFD,
Napenda kuwajuza kuwa sasa hivi kuna hatari kubwa ya watu kupata mgogoro mkubwa zaidi wa kiafya kuhusiana na uingizwaji wa madawa ya kila aina nchini kwetu.
Sasa hivi...
Medical marijuana users would agree that the best no-nonsense painkiller out there is the daily usage of marijuana, and is quickly becoming hand over fist the highest demand medical product on the...
Habari wana JF,
Naomba msaada kwa mwenye uelewa au mwenye uwezo wa kunifanyia searching, Ndugu yangu ana tatizo la macho linaitwa Gene Therapy, retinits pigmatos, kwa ufupi tu tiba hii Tanzania...
The doctor recommends suctioning baby's nose to ease the congestion of a cold. Cold compresses, you hear, are the best way to treat a burn. And steam is ideal for treating a baby with the croup...
Kuna thread iliripotig "REDBULL NI HATARI DANGER KWA AFYA YAKO" Je? Kuna yeyote alipata kusikia madhara yake? Ama ilikuwa ni propaganda ya Biashara. Mi nilikatizaga pamoja na ss nataka niikaribie...
Habari wapendwa.
Nina tatizo la kuwashwa miguu kuanzia magotini kushuka chini, yani najikuna mpaka kunatoke kipele kinachoweka maji kama lengelenge na bado sehemu hiyo hiyo itawasha bila kupoa...
Dear Doctors, for a very long time i've been blind on this matter. Please, how long can an HIV survive when it's outside human body? I'm looking forward to your response!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.