Wataalamu wa Afya wanasema kuwa, awamu mbalimbali za maisha zinahitajia ulaji wa chakula wa aina tofauti. Iwapo wewe ni mtoto, mwili wako unahitaji virutubishi ili kusaidia ukuaji wa mwili, kama...
Nina kaka yangu ambaye ana umri wa miaka 54 na amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kushindwa kukojoa anawezeza kutoka usiku hata mara nne kukojoa.
Tatizo hapa kwetu kuna tatizo hilo limekuwa...
Habari wana JF,Wapendwa naomba msaada wenu kwenye hili tatizo linalonitatiza,imekuwa ni wiki sasa huwa napatwa na usingizi mzito sana ifikapo saa nne asubuhi,yaani iwe nimewahi kulala usiku au...
Kuna hali ambayo naona inaanza kunitokea hivi karibuni, nikiwa nawaaza kitu nasikia kichwa kinaanza kuuma na pia moyo unaanza kwenda mbio, Hivyo kwa ushauri na jinsi ya kufanya namna gani...
jaman watalamu miye ni mnyaji mzuri wa beer kuanzia nane mpaka kumi na zaidi ila kwa sasa nikinywa beer 2 tu nahisi tumbo kujaa inamaana beer ya tau siwezi kuinya sijajua tatizo ni nini
Habari zenu wanajamii! Mimi nina ndugu yangu, ana tatizo la anger management na anxiety disorder, hii nimegoogle nakuona tabia zinaendana na magonjwa hayo. Ila naona ni vema akionana na mtaalam...
Very soon women will pay men to suck their breasts!
BBC Homepage Top News Story -
Doctors recommend that women reduce the risk of breast cancer, by having their breasts sucked and fondled on. It...
Wakuu nina kitambi flani hivi hadi kimeanza kumkera mamito wangu, naskia ukinywa pombe kali zinasaidia kuyeyusha mafuta chini ya ngozi tumboni, ofcoz huwa nakunywa sana valuu ndio siku 1 nikaamua...
Shahawa ni yale maji mazito meupe yamtokayo mwanaume wakati anafanya tendo la ndoa. Mbegu za kiume huwezi kuziona kwa macho mpaka utumie darubini maalumu. Shawaha (semen) hutengenezwa tofauti...
Ndugu Wadau,
Mwanangu (15) jinsia (KE) ana uvimbe kwenye ziwa lake la kulia likiambatana na maumivu wakati fulani.Tumeigundua takriban miezi mitatu sasa na tumewaona wataalamu wa hospital (mount...
Mambo niaje wanajamii,
najua wengi tupo kwenye mapumziko ya week end!
Nina rafiki yangu anasumbuliwa na vipele kisogoni,vilianza kama utani miaka mingi iliyopita na sasa imekuwa
tatizo sugu...
habari wakuu mimi n kijana mwenye miaka 21 nipo chuo na uzito wa 50kg thn nqa uref wa 5.4 nashindwa kuelewa kwa nini uzito wang ni mdogo kiasi hicho wakati nakula vizur bila ya hata kupitisha mlo...
Habari wadau
Naomba kuuliza ni ugonjwa gani huu kwenye mapumbu kuna kuwa na pumbapumba na kama zinabanduka hivi lakini hakuna maumivu yoyote tatizo ni nini na ni ugonjwa gani?na dawa gani inaweza...
habari wana jf mimi n mvulana mwenye miaka 22 nilikuwa na chunusi kwa muda wa miaka mitano mpka sasa lakin nlikuwa natumia dawa mbalimbali bila mafanikio ila mwaka huu mwezi wa kumi na mbili...
Siku izi kumekua na hali ya kupata shida ya kupata watoto/mtoto kwa wanandoa ambao wameingia kwenye ndoa bila ya kua na mtoto,,Hata kama wote wawili hawana matatizo bado utakuta ni shida...Kunani?
Sasa unaweza kuachana na dawa hizo za Kichina, baada ya kugundulika mmea wenye uwezo wa kukuza makalio, matiti, pamoja na kurefusha uume.
Taarifa za kiutafiti zinautaja mti huo kwa jina la Mvunge...
Habari zenu wakuu.
Najaribu kutengeneza orodha ya vyakula na vinywaji ambavyo kwa namna moja ama nyingine huchangia kuporomoka ama kushuka kwa kinga yetu ya mwili dhidi ya magonjwa kiasi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.