Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

THURSDAY, Jan. 31 (HealthDay News) -- Marriage appears to reduce the risk of heart attacks for both men and women, according to researchers in Finland. Other studies have shown that being...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
CHAI imeanza kutumiwa nchini China zaidi ya miaka 4,000 iliyopita na kwa mujibu wa historia, Mtawala Shen-Nung, katika miaka ya 2737 BC, ndiye aliyekuwa akinywa chai kwa staili ya kunywa maji ya...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Ripoti ya utafiti iliyochapishwa katika jarida la Health Physiology na kuchapwa katika wavuti ya WebMD inadai kuwa watu wazima wenye tabia ya kufanya mazoezi ya kuendesha baiskeli au kujinyosha...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu pamoja na mgomo mlio. Nao naomba mnisaidie kama nnaweza pona kidole tumbo kwa dawa bila kuchanwa utumbo nko nyumbani Hata kulala kinanisumbua au kuruka au kujitingisha kwa nguvu kinaniuma...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
I lay down to test the mattress: it was lumpy and totally unyielding, not the sort of place one would want to spend much time, which seemed a little odd, given the purpose of this room. Agnes...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii napenda kuwatakia kila la kheri katika kazi zenu za kila siku. Ukiwa unafanya kazi zako wakati wa mapumziko unaweza kupata muda wa kujisomea na kuweza kupata uelewa zaidi kuhusu afya...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari za leo wana jf. Naomba kujua usahihi wa kipimo cha home hcg test.
0 Reactions
7 Replies
36K Views
Habari wana Jf, Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 24, amekuwa akilalamika muda mrefu kidogo anasumbuliwa na muwasho sehemu ya haja kubwa na ndogo, anaweza kuwa na tatizo gani? Natanguliza shukrani!
0 Reactions
13 Replies
14K Views
Overweight and obesity are defined as abnormal or excessive fat accumulation that presents a risk to health. A crude population measure of obesity is the body mass index (BMI), a person’s weight...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Takwimu za Shirika la Afya Duniani zinaonesha, vifo vitokanavyo na Kisukari (Diabetes) vinatarajiwa kuongezeka mara mbili ambapo mpaka sasa watu wapatao milioni 347 duniani wanaugua ugonjwa huu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Magonjwa ya moyo (Cardiovascular Diseases) yanaongoza, ambapo watu milioni 17.3 sawa na asilimia 30 ya vifo vyote duniani yalitokana na CVDs, inakadikiriwa watu milioni 25 kupoteza maisha kufika...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Disturbing rise of the G-spot jab: It's the latest cosmetic treatment that promises to pep up your sex life. But, warn doctors, it could do exactly the opposite Dr David Matlock, a...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kufanya Mapenzi Kipindi Cha Ujauzito Nimefikia hatua ya kutaka tulijadili hili mara baada ya mabishano na mijadala kadhaa ya watu wazima kuhusu mapenzi, staili na madhara kipindi cha...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
wapendwa wanaJF,kwa anayejua anisaidia huu ni ugonjwa gani unasababishwa na nini nini madhara yake na je tiba yake ni ipi.uume kuwasha sana na baadaye kutoa vipele kwenye shingo ya uume ambavyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Maumivu kwenye matiti. Hii ni dalili ya kawaida ya ujauzito ambapo nguvu za homoni mwilini huongezeka wakati yai linavyopata “rutuba”, jambo ambalo huongeza wingi wa damu na kuyafanya...
3 Reactions
0 Replies
12K Views
habar madaktari na wauguzi wa JF, Nina shida ya meno yangu ya mbele kw pembeni, ya juu na ya chini kuwa marefu kama ya mnyama anaye kula nyama[canviorus] kias kwamba yana ninyima balansi ya taya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani nina kitambi na tumbo kujikunja kunja wakati ninapokaa,mfano kwenye kiti au popote pale,hii hali inanichukiza sana kwan sipend hichi kitambi kwani kinanipotezea body langu. Hvyo naomben...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
mimi ni mwanamke wa miaka 24 sasa,ninatatizo la kutoa harufu ukeeni,kuna kipindi nilishika ujauzito nikaambiwa kua kutokana na hili tatizo mimba yaeza toka na kizazi,na kipindi nina mimba ndio...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo vingi sana usoni,kifuani na mgongoni kwa muda mrefu sana,vipele hivi vinakuwa kama ngozi ya kuku,nimekuwa nikishauliwa kutumia mafuta na vitu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani nini dawa ya uume. mdogo.?? nataka kuwa na uume mkubwa kidogo.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom