Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Pole na majukumu wakuu! Naomba msaidie/kunipa ushauri kuhusu hili Mwaka 2011 mama yangu mzazi (ana miaka 50) alipata tatizo la kutokwa na damu mfululizo kwa muda wa miezi 6.Ilikuwa hivyo kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza naomba niwasalimu wote wana jamii forum pamoja na Doctor natumaini wote ni afya njema. Doctor ninatatizo la kuwasha mwili kila baada ya kuoga muwasho huo huchukua robo saa hadi nusu saa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
The Woman With 2 Vaginas! - YouTube
0 Reactions
4 Replies
4K Views
IJUWE KIU Unasubiri KIU ndipo unywe maji? Na je kiu ni?: NAMNA MPYA YA...
1 Reactions
10 Replies
30K Views
nisaidieni kujua zile computerized mashine zinazotumika kupima maradhi zinaitwaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mke wangu anatoa uchafu mweupe kila nifanyapo tendo la ndoa .naomba ufafanuz kwa anae lijua tatizo hili?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
LONDON: Fasting for short periods could help combat cancer and boost effectiveness of its treatments, a new study has claimed. Researchers at University of Southern California found that fasting...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hakuna anayependa kupata maradhi ya zinaa, lakini kama kwa bahati mbaya utapata ugonjwa kama Gonorea au Pangusa, magonjwa ambayo awali yalionekana kama yanayotibika kirahisi, hivi sasa wataalamu...
8 Reactions
69 Replies
12K Views
Habari zenu wanajukwaa, naomba msaada wenu wa mawazo wanajukwaa, nina mwanangu ana miezi minne kwa mda takribani wa wiki mbili anakojoa mkojo wa njano na uchafu wenye rangi km pink,nimeenda...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Nina uvimbe kwenye dhakari (mboo) upande wa chini karibu na shina la mboo. hauumi, ni kama kigololi kinacheza cheza ukikishika. kilianza kidogo sana lakini naona kila siku zikisogea kinazidi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Background: Nina mgonjwa ambaye amekuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu. Katika kipindi chote hicho, aliweza kumanage vidonda hivyo kwa lishe bora na mazoezi ya kujenga mwili...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Nimesikia matumizi ya hii kitu ni nzuri sana kwa binaadam. Naomba kujuzwa wapi naweza kupata, na vipi inaandaliwa kwa kuliwa... Msaada plzzz. MziziMkavu come on swahiba
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Je, kama ni kweli huongeza vipi nguvu za kiume? Nguvu za kike je? Kwa nini karanga mbichi na sio zilizokaangwa? Wengine husema mchanganyiko wa ngisi, garlic na asali mbichi huzidisha nguvu za...
1 Reactions
43 Replies
95K Views
USHAURI KUTOKA KWA RAFKI YANGU Rafki yangu ni mwanamke mwenye umri wa 21. Tangu mwaka wa tatu huuu huwa ana hisi maumivu sehemu za siri akiwa na feeeling ya kumkumbuka boy wake wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari JF dr? Mwaka jana nilienda kufanya body check up. Bahati vipimo vyote vilikua sawa na sikua na tatizo lolote, isipokua underweight. Dr alinambia uzito wangu na weight haviendani na I have...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Fund Zupliment ya Revivo in fanya kazi nyingi sana za kiafya ikiwa na pamoja na Kuboresha Kinga Mwilini, Kwa maelezo zaidi soma maelezo yafuatayo na kisha angalia tofuti hii Experience Your New...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ahsanteni nimewaelewa! Na sory kwa nilivyoandika kwa niliowakwaza!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
huku wanawake duniani wakipata tabu kushika mimba.madaktar nchini uswiz wamefanikiwa kuhamisha mfuko wa kizazi toka kwa mama kwenda kwa mwanaye ambaye aliolewa na kushindwa kushika mimba.imeelezwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf embu nisaidieni nna mabishano hp hm eti naskia damu ina rangi ya kijani? na ikitoka mf umeumia kuna hatua inapitia hd inatoka ikiwa nyekundu? Embu nisaidieni jmn
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nikiwa na mwenza wangu faragha wakati wa kudo nikishapiiz mara ya kwanza inachukua kama dakika ishirini ili jogoo asimame tena,je hili ni tatizo na kama si tatizo ni kwanini inakuwa hivyo pia huwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom