Mke wangu kajifungua baada ya mda mfupi mtoto akawa amefariki uzao wa kwanza,kwa sasa yuko nyumbani anaendelea vyema,napenda kujua natakiwa kukaa kwa mda gani kama hatujaanza kukutana tena kimwili...
The beautiful little girl you see before you is named Mykayla. Eating Cannabis Oil saved her life when she was diagnosed with Acute Lymphoblastic Leukemia. Cannabis has saved her life, and...
HABARI ZA KAZI WANATAALUMA WA AFYA? NIMEKUJA KATIKA HILI JUKWAA MUHIMU KWA SHIDA NAOMBA MSAADA TAFADHALINI.
NDUGU YANGU AMELETEWA TUHUMA KAMA AMEMPA MIMBA BINTI WA WATU NA YEYE KAKATAA NA...
Gazeti la Mwananchi la leo limeripoti kugunduliwa kwa chanjo ya UKIMWI nchini likielezea tafiti zilizofanywa na hospitali ya Mhimbili tangu mwaka 2007 hadi 2012, zikihusisha askari polisi na...
Nilikua nacheza mpira kawaida tu ila sikumoja nilichezewa vibaya namguu wangu ukateguka.Nilivyoenda hospitalini nilipewa dawa naclip yangufunga daktari akidai utajirudia katika hali yakawaida ila...
Wana JAMVi
Imekuwa kama fashion siku hizi watu kuacha kunywa chai ya sukali na badala yake kutumia zaidi asali kama mbadala.
Wengine wanadai kwamba hii inasaidia kumkinga mtumiaji na kupata...
KWA UFUPI
DAWA bandia zinazodaiwa kutibu ugonjwa wa kifua kikuu (TB), zinahofiwa kuingia nchini, ambapo zinadaiwa kutumika kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili tangu mwaka 2011.
DAWA bandia...
Wana jf popote mlipo heshima kwenu. Nawapongeza kwa mawazo na michango yenu kila panapohtajika ushauri. Kuna rafiki yangu ambaye mkewake kajifungua miezi mi4 iliyopita na kwa bahati mbaya...
Coronary hWhat is heart disease?
Coronary heart disease (CHD) is one of the commonest diseases to affect the heart. It's usually caused by atherosclerosis, a build up of fatty materials within...
ujauzito umenibadili si tu maumbile ya mwili bali na hisia mwanzoni sikuwa na wivu kiasi hichi kwa mume wangu lakini tangu nipata ujauzito nimekuwa na wivu sana na nampenda sana mume wangu...
naanza kupata wasiwasi wa kuwa kibogoyo kijana .....ni katika kipindi cha miezi sita tu ni meng'oa meno manne magego..
naomba munisaidie nifanyeje naona nimeshayafikia ya sebuleni sasa....meno...
Wapendwa hebu nisaidieni juu ya hili...
Binti yangu wa kazi mwenyeji wa Sehemu za Ngara kila nikienda likizo na yeye nampa likizo...
jmos karudi toka kwao akiwa mnyonge na amepungua sana ,nikaomba...
Kuna hii kahawa ya kupunguza unene (Slimming coffee) inayotoka Brazil. Inatumia jina la kibiashara la Green Coffee. Taarifa za kuaminika zinaonyesha kuwa kahawa hii ina dawa aina ya sibrutamine...
utafiti wangu wa muda mrefu kwenye hospitali za umma umebaini yafuatayo:-
1) Huduma ni mbaya sana na pia wagonjwa wengi hawapewi matibabu yanayokidhi khali zao.
2) Pamoja na baadhi ya madawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.