Naomba ushauri nahisi kuchanganyikiwa kiakili nimepima nimeambiwa nina virusi vya hepatitis je huu ni ugonjwa gani mana sikuwahi sikia hata mara moja na dawa ni nini na je unapona naombeni ushauri
Wakuu hebu nipeni ufahamu wa hii kitu. Kuna tofauti gani kati ya sub-conscious mind na conscious mind? Je roho ni nini na inafanya kazi gani? Samahani kama nimeweka kwenye jukwaa lisilohusika
Habari wana jf.mimi nina tatizo lakupenda maziwa fresh,naweza kunywa hata lita tatu kwa siku au zaidi ya lita tatu,mara nyingi nakunywaga yale box,au pakt naomba kujua side effect ya unywaji sana...
Jamani Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32'Tatizo ninawashwa sana kwanzia kwenye mapaja hadi sehemu nyeti na hasa nyakati za usiku kulala inakuwa tabu.nimejaribu kupima mkojo na STI majibu...
Ni matumaini yangu kuwa wanajamii mpo salama na mnaendelea vizuri na kazi zenu za kila siku katika ujenzi wa taifa. Mimi pia nipo salama na nashukuru pia. Ninapenda kuwashirikisha namna ambapo...
Photo Credit fruit and vegetables on a pile studio isolated image by dinostock from Fotolia.comHigh blood pressure is a condition affecting more than 65 million Americans, as reported by the...
Photo Credit fruit and vegetables image by photo25th from Fotolia.com
High blood pressure is known as a silent killer because it has few early warning symptoms, but can lead to heart attacks...
bado sjaamini kama ni ugonjwa na kama ni ugonjwa ni aina gani ya ugonjwa ,utakuta watu asa vijana wale wanao rap (kufokafoka) kila mala wanashika sehemu zao na hii nikwa wavulana kwani sijaliona...
After a shooting spree, they always want to take the guns away from the people who didn't do it. - William S. Burroughs.
See the statistic at the bottom of the page...
Mimi ni mdada nina mda wa mwaka katika uhusiano, lakini baada ya miezi minne ya uhusiano wetu wakati wa tendo huwa natokwa na maji meupe yanapanda adi juu ya uume hayanuki. je ugonjwa gani?
Tafadhali naomba msaada wa kituo/clinic/hosp. inayotoa huduma ya kufanya vipimo vya afya kwa mtu asiye mgonjwa(just for check up). Nilienda hosp fulani nika line up kama mgonjwa nilipofika kwa Dr...
Inasemekana kuwa mwanaume na hali kadhalika mwanamke ana sexual arousing hormone inayofahamika kama pheromone ambayo huitoa kwa njia ya smell. Je ni kweli?
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) kwa kushirikiana na watafiti wengine wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, inahangaika kupata majibu ya kwa nini maambukizi ya ugonjwa wa malaria...
KWA WALE WANAOPENDA NA KUONA SODA ZINA MANUFAA KWAO WASOME KWA UMAKINI.
Sababu ya kifo cha mama huyu imethibitika leo kuwa ni kutokana na matumizi ya kupitiliza ya Coca Cola
INVERCARGILL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.