Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Natafuta dawa ya kuongeza size ya machine kwani size ni ndogo kutokana na nyeto.Any help plz!!!!!!thanx in advance
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Salam wana jf doctor! Tatizo la upungufu(uchache) wa mbegu za kiume(sperm) tatizo hili limenianza kama mwaka mmoja uliopita! Nimejarb kuchunguza na kuomba ushauri nikashauriwa nile vyakula...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
katika pita pita zangu nikaona tangazo la daktar anaeitwa Dr Abdalla Mandai anapatikana maeneo ya Ukonga Dar es salaam..........hyu inasemekana anazo ARV mbadala kwa kutumia matunda mfano...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
kwanini baadhi ya dawa zinaandikwa (tumia baada ya kula)? Doctor anapokupa dawa na kuandika maneno yale anakuwa anatambua ni Acid kiasi gani inapatikana katika kidonge hicho. Sasa pale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya tena wazungu wametengeneza Vidonge lakini vinauwa watu someni hii habari jamani ni hatari sana hivyo vidonge. On the morning of June 1, 2011, Michael L. Sparling took the recommended dose of...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii forum!Mimi ni msichana wa miaka 25 na nna mpenzi wangu ambaye tunapendana tu,tatizo ni kwamba ninapokutana naye kimwili raundi ya kwanza huwa naenjoy ila raund zinazofuata...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nawasalimu wote.....!!!! naulizia chanzo na tiba ya jipu, mbali na kupasuliwa kuna tiba yoyote mbadala? mwenye kujua hilo naomba anisaidie!!!
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wana JF naomba kupatiwa maelekezo ya kina juu ya kutunga mimba kwa Mwanamke mwenye mzunguko wa Siku 32, Vile vile ambae anaingia MP Siku 3, Mfano mwezi huu ameingia tarehe 9 mpaka 11, Je ni...
0 Reactions
8 Replies
18K Views
How to Spot Nutritious Choices that Help You Stay Slim: CRUNCH TIME: Studies indicate your stomach may feel fuller when you eat calories from foods that require more chewing. Take a look...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
hello wanajamii, naomba kuuliza swali hili nina mtoto mdogo wa miaka miwili na miezi 7 huwa akilala anapata joto kali sana sehemu za kichwa tatizo ni nini hasa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wataalam wa magonjwa ya binadamu, naomba ufafanuzi juu ya tiba ya Traction under GA operation, je hii tiba/operation inafanywaje? Nimeshauriwa nimpeleke mgonjwa wangu akapate hii tiba kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Especially ninapokula vyakula vya jamii ya kunde, mayai na baadhi ya matunda tumbo langu hujaa gesi au kupata kiungulia
0 Reactions
5 Replies
39K Views
Ndugu wana jf
0 Reactions
14 Replies
2K Views
habari zenu ndugu, naomba mnisaidie kunielezea hiyo scale inayohusu levels za sedation kwa watu waliopewa sedative drugs au narcotics
0 Reactions
7 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Naomba msaada.. mimi ninamtoto wa miezi mi 3. nanyonyesha, lakini ajabu toka jana maziwa yananiuma sana! na yamekuwa magumu sana. Tatizo nini?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kwanini baadhi ya dawa zinaandika (tumia baada ya kula)? Doctor anapokupa dawa na kuandika maneno yale anakuwa anatambua ni Acid kiasi gani inapatikana katika kidonge hicho. Sasa pale...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Naomba kujuzwa kiwango cha kawaida cha glaycated haemoglobin,nini madhara endapo inakuwa low
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The restoration of balance through any mental unbalanced condition is purely mental. A change of thought from negative to positive will cure any mental ailment. A physically unbalanced body...
1 Reactions
1 Replies
838 Views
Katika pitapita zangu online nimekutana na blog flan ya kitanzania, japo nzuri kimuonekano ila kuna article chache ikiwamo hii? wadau lwe;i haya mambo yapo tanzania? au ndo kukopi tu yale ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom