Wana JF naomba mwenye kujua namba za simu za Dr. Emmanuel Boaz anayetibu mifupa kiasili tafadhali nipatie, au maelekezo ya kuelekea kliniki yake. Asanteni
Nimekutana mara kadhaa na hawa MaDr wa mitipori wa Kimasai wakinadi dawa ya kuotesha nywele kwa wenye vipara!
Ninachopenda kujua kama kuna mdau ameisha tumia hizi dawa na kweli zikaotesha nyweleze...
jamani huu mwaka takribani wa tano kichwa changu kinawasha, nimejaribu kumeza dozi ya mwezi(vidonge 30) bila nafuu, nimepaka mafuta ya asili lkn wapi! Km kuna mtu anajua dawa anisaidie kunitajia.
Nipo Mbeya baba yangu anashida ya mtoto wa jicho (cataract) na sina uwezo wa kufika Dar es salaam CCBRT naomba msaada kwa yeyote anyejua wapi naweza kupata matibabu ya baba yangu hapa Mbeya
Wakuu,wataalam,
nisaidieni hapa Nina anko wangu wa kike yuko form 4 na bado mpaka sasa anakojoa sana kitandani! Karibu kila siku tunatoa godoro nje.
Naomba ushauri na tiba,
nimepata taarifa kua, takwimu zinaonesha kua Tabata inaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi kwa wilaya ya ilala na takwimu hizi zipo kwa mganga mkuu wa wilaya ya Ilala kwenye ofisi yake, Hospital ya Amana
Nimekua nikisumbuka kupata mtoto,ila majuzi tu nimegundua nina ujauzito wa mwezi baada ya muda mrefu,niepuke dawa gani katika safari hii? Nahofia isitoke
Wakuu,naomba tupeane ushauri na uzoefu.Je kwa mtu mwenye uwezo wa kwenda round moja tu wakati wa kufanya mapenzi,anaweza kutunga mimba kwa mwanamke?Au kuna wakati goli moja halitoshi?Naomba tupane...
Mimi ni mwananchama wa NHIF (NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND) dukuduku langu ni kutaka kujua eti huduma ya matibabu ya meno hailipiwi na huu mfuko. Mn nimetembele hospitali moja leo nikiwa na...
Abir,
It is called masturbation.
Of course, it is very bad for health. It makes you "dry, loose, skinny, weak, and impotent" day by day. I am a doctor. You will require nearly five minutes to...
Kuna hizi dawa/vidonge, VITA CAP NA STROM-50.
Je hizi mtu akitumia zinaweza kushusha presha na mgojwa kuishiwa nguvu.
Sababu kila akizitumia ndo anakuwa hivyo ni sababu ya hizi dawa ama kuna...
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dr Hussein Mwinyi.
KWA UFUPI
"Katika utafiti wa Kitaifa uliofanywa mwaka 2010, umeonyesha kuwa kiwango cha ukatili wa nyumbani kati ya wanawake wenye umri wa...
Naona humu ndani kuna wataalamu wa vyakula kila aina
lakini sioni vyakula vya mfano
wenye vidonda vya tumbo?
au wenye kisukari na kadhalika
nahisi mtu akitunga hata kitabu tu kitauza sana
since...
Habari za leo. Naomba msaada wa namna ya kum introduce mtoto kwa chakula. I mean mtoto wangu amekuwa aki breastfeed exclusively for 5 months and I would like to introduce him to other foods...
Mtoto wangu anaumri wa miezi mitatu.. ila ameanza kutokwa udenda akiwa na miezi miwili. Ila huu udenda umezidi kawaida na anakuwa anatema mate sana! tatizo ni nini? je ni kutokuweza kumsafisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.