Can we discuss this please? Hypertension is no longer an 'old age' problem'. The rate at which young people collapse and die these days is alarming. Are there doctors in the house that can talk to...
Heshima mbele wanaJF,
Nimekuwa na matatizo ya masikio yangu kwa muda wa miezi sita (6) sasa. Siku moja nilikuwa natembelea maeneo ya machimbo, maeneo hayo mara nyingi wanakuwa wanatumia milipuko...
Nina mtoto wa mwaka 1 na miezi mi2 todate. For the 1st time,aligundulika na malaria 5 akatibiwa na kupata nafuu kabisa. Miezi mi2 baadaye akaanza kuonekana na dalili za malaria. Alipimwa again...
Habari za asubuhi wanajf nina maumivu bega la kushoto kwenye mgongo panauma hata ukibonyeza panauma nimepata tiba toka regency hosp lakini bado kwa sasa nachoma sindano 10 za Neurorubine but...
Wadau wa JF hasa Jf Doctor watu wengi wamekuwa wakitoa matatizo yao ya kuumwa kwenye Jf Doctor na kupewa ushauri wa kitabibu either Hospitali au Tiba mbadala,kitu ninachoona kingekuwa cha manufaa...
Habari madaktari,
Mtoto wangu anakuwa kama kuna kitu kinamsumbua kufuani.unapomaliza kumpa maziwa anakuwa km anajinyonga kifuani halafu anacheua..ukiyalamba aliyocheua yana ladha ya uchachu km...
Tafadhali nisionekane mshamba...naomba nijulishwe.Hivi,nguvu za kiume ni nini hasa? Je,ni uwezo wa uume kutenda kazi bila kuchoka kwa muda mrefu? Je,ni uwezo wa uume kutema mara nyingi? Ni nini hasa?
Mficha uchi maradhi yatamuumbua,
Nina uvimbe wa juu Korodani ya Kulia, ni tatizo gani hasa na nini tiba yake. Kuna wakati inasabasha maumivu kwenye hiyo private part.
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA
Habari wanajamii
Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo:
1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa...
Habari zenu wapendwa.
Napenda kufahamu hivi ukinyoa sehem za siri hasa kwa wanaume je hakuna madhara ukitumia magic powder? Mimi napenda kutumia hii dawa kunyolea sehem za siri ila nina mashaka...
Wana JF naomba kwa yeyote mwenye kujua tiba ya henia kwenye uti wa mgongo, yaani disk kutoka na kukandamiza neva za fahamu, nateseka, mwenye kujua tiba tofauti na upasuaji tafadhali.
Cancer is one of the most dangerous Disease, in Action in this modern era.
After Research Scientists have Announced yesterday that, Most of the Brain Cancer is Due to Cell Phones. Among the worst...
Mimi ni mtoto wa kiume nasumbuliwa na ugonjwa ambao siujui,umeanza gafla baada ya kufanya mapenzi na mwanamke flan,natokwa na maji maji meupe kwenye uume,nikikojoa mkojo upo safi tu,nilienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.