Top 10 Painful Illnesses
When, it comes to feeling sick we are not all equal in our abilities to cope with distress and discomfort, however there are certain types of pains that tend to reduce...
Hongera kwa majukumu na pole kwa uchovu wa wikiend.
Mie ni mwanamke wa miaka thelathini na mmjo 31). Nimevunja ungo nikiwa na umri wa miaka 16 na nikiwa kidato cha tatu. Sasa tangu nivunje ungo...
Naomba ushauri, mlango wa haja kubwa unaniwasha Mara kwa Mara sijui dawa yake ni nini? Nimetibiwa sana za minyoo, na fungus lakini wapi!! Msaada jamani.
Sent from my BlackBerry 8520 using...
Not only does it rot your teeth and add inches to your waistline, but now researchers have discovered that
junk food actually hurts your brain.
By consuming trans fats, found often in fried or...
wadau naomba msaada wa jinsi ya kukomesha vipele usoni, na apia jinsi ya kuondoa mabaka meusi usoni,
Je kuna uwezekano wa kuzuia au kupunguza kasi ya ndevu kuota? msaada wenu tafadhali
habar wapendwa,,nadhani wote tuu wazima,,ninaomba ushauri wenu nifanye njia gani zisizo na madhara kupunguza mwili na uzito?hasa kupunguza mwili,,naombeni msaaa wenu katika hili,,
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea sasa swali langu ni namna ya kuepusha mimba,kwani alianza monthly period tarehe 29.04.2012 sasa je leo tukifanya mapenzi bila kutumia kinga anaweza...
Jamani napata maumivu ya mifupa ya kwenye ugoko miguu yote,nashindwa kuelewa ni kitu gani kinasababisha hii kitu maana cjakimbia wala kufanya zoezi lolote cku za karibuni
Jaman mm nna tatizo,mm bado c jaoa lakini nataka tatizo hili ata nikataka kuoa niwe tayar nimelisha lipatia ufumbuz,,,,,
tatizo lenyewe ni samahanini lakini 'endapo nitafanya mapenz bac baada...
Heshima mbele wakuu wa jamvi.
Hapa nyumbani kuna dada angu yupo darasa la nne, Juzi alikuwa anaumwa akapelekwa haospitali.
Akapima mkojo kwa ajili ya UTI. Majibu yakatoka Daktari akasema mkojo...
Wakuu wana jf,
leo nakuja hapa kupata jambo moja tu!,ninae mgonjwa mtu mzima above 40 ana jipu shingon limetimbuliwa toka last year had sasa ndo linakauka na limeleta uvimbe wa tezi. Pia wiki 2...
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki ambaye amekuwa akisumbuliwa na kifua kubana hasa anapokuwa na msongo wa mawazo(ni kwa muda usiopungua miaka minne sasa), maumivu hayo hayatokei mara kwa mara ila...
Hivi nikweli kuwa mtu mwenye matatizo ya ugonjwa wa moyo na presha hapaswi kudungwa sindano ya DICLOFENAC?. Tafadhali naomba wanajamvi mnijuze juu ya kadhia hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati,
Jaman mimi ninashida jins ya kutumia kondomu kwa usahihi, eti unaweza ukapiga bao zaid ya moja kwenye kondomu moja? kwan nimeona kwenye maelezo ya namna ya kutumia kondomu kwenye pakiti...
Ndugu zangu naomba ushauri, mtoto wangu anawiki moja tangu azaliwe,analia kwanguvu mara kwa mara. Akisha lia tu,hujisaidia haja kubwa. Pia hutikiswa mara kwa mara(hustuka). Nisaidieni kwa ushauri.
Wakuu, naomba kuwasilisha kwenu tatizo hili, wakati wa baridi, sehemu za korodani hujaa vimaji kidogo, ambavyo hupelekea kuhisi kaama kichomi, na kuuma, tiba yake hasa ni nini? wengine huita...
LATEST CANCER INFORMATION
from Johns Hopkins
AFTER YEARS OF TELLING PEOPLE CHEMOTHERAPY IS THE ONLY WAY TO TRY AND ELIMINATE CANCER, JOHNS HOPKINS IS FINALLY STARTING TO TELL YOU THERE IS AN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.