Heshima kwenu waungana,
Jaman mwenzenu nina tatizo maana mke wangu anataka kuondoka endapo mwez huu hatapata ujauzito maana limekuwa ni ombi lake la muda mrefu,ni kwamba mimi na yeye haituishi...
UTAFITI mpya wa kitabibu umebaini kuwa saratani ya shingo ya kizazi, inasababishwa pamoja na mambo mengine na ngono kama ilivyo kwa ugonjwa wa Ukimwi, madaktari bingwa wa magonjwa ya maradhi hayo...
habari yenu wapendwa,,
ni matumaini yangu mko salama kabisa poleni kwa wale tunaosumbuliwa na maradhi,,,
nadhani asili MAFUTA YA UBUYU
Ni mafuta ya asali yalifanyiwa utafiti wa kina wa...
Jamani nina ndugu yangu ni mmoja kati ya hawa waliopata sufuri ya miaka minne. nahisi moja ya sababu zilizopelekea ni kubwia ugolo. kifupi ni kwamba huyu dogo anaubwia kwa fujo kiasi kuwa huwa...
NDUGU WANA JAMII, NISAIDIENI NIFANYEJE ILI NIPOMNE HILI TATIZO!
KIPINDI NIPO MDOGO, KABLA SIJAFIKISHA MIAKA 18, NILITOLEWA DAMU KTK HARAKATI ZA KUCHANGIA DAMU SALAMA, BILA KUJUA, NA KWA ELIMU...
wana jamii, usikurupuke kuponda, nahitaji msaada kwa niaba. mlengwa jicho lake ni kubwa kimtindo kutokana na ugojwa (njia ya haja kubwa) nini kifanyike ili kupunguza huo ukubwa
IZ IT TRUE?
PARTICIPANTS at the 4th Allure Vanguard Women on Wellness, WOW, seminar, got a shocker recently when they learnt that foods eaten after 8.00pm, were essentially poisonous to their...
Ndg zangu naombeni msaada nina mdogo wangu amepata tatzo la kuvuta hewa chafu ya dawa ya mbu baada ya kupata huduma icu AMEPATWA TATZO LA KUTO ONA KABISA MWENYE KUJUA DAWA ANISAIDIE TAFADHAR
JF Doctor
Mimi ni Kijana wa Miaka 29 kwa week mbili sasa nimekumbwa na tatizo ambalo sijui ni nini,Ila for the last two weeks nilikuwa na matatizo{Stress} na nilikuwa najitahidi kujilazimisha kula...
Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti mara kwa mara yakuwa; mabinti wengi hawahitimu masomo yao kwasababu ya kupata ujauzito (mimba za utotoni).
Mtoto anaweza pata ujauzito?
Wanabaiologia; hii...
Dear JF Members
Greetings in abundantly. Today, lets talk a little bit about causes, and healthy effects/ risks of Obesity/Overweight, and the way we can get rid off through Meal Replacement...
Muscle cramps facts
A muscle cramp is an involuntarily and forcibly contracted muscle that does not relax.
Almost everyone experiences a muscle cramp at some time in their life.
There are a...
Salaam wakuu,
hivi hapa dar kuna kituo cha kuwatibu waathirika wa madawa ya kulevya?
Kwa maana ya kambi
maana nina shemeji yangu hashikiki kwa hayo madawa licha ya kwamba anatibiwa muhimbili na...
Nimepata mdada wa kazi kwang, nimchapakazi sana, msafi na mwang umpenda sanaaa kwa ufupi anasifa nzuri.
But anatatizo moja tu, kinywa chake ( mdomo) Unanuka harufu kali mara kwa mara pindi...
Jamani anayeweza anipe msaada wa haraka,nasumbuliwa na tumbo,nkikaa kwa muda bila kula,tumbo laniuma sana,pia najisaidia choo chenye damu,meenda hospitali nkaambiwa ni vidonda vya tumbo,metumia...
SIKU moja baada ya Hospitali za Aga Khan na Muhimbili kutangaza kuanza kutoa huduma za matibabu na upasuaji wa moyo ndani ya nchi, Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph (STJUT), kilichopo Chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.