ndugu wana jf kuna tatizo limetokea miongoni mwa jamii yetu kila ukienda kupima moyo umetanuka napenda kujua nini chanzo na tiba kwa wale wanaofahamu.ahsanteni
Hello The JF Drs.
Naomba ushauri kuhusi hili tatizo:
Ni kama miezi miwili sasa I am experiencing kama naungua moto hivi sehemu ya nyuma mugongoni kuanzia sehemu ya shingo hadi mitaa ya kiunoni...
Tafadhali, naomba msaada.
My wife anatatizo la nyonga ie pale ule mfupa wa femur unapo join na pelvis, Upande wa kulia na huhisi maumivu akilalia upande wa kulia. Hata akitembea ameanza...
Hello!
Habari zenu, tafadhari naomba kwa mtu yeyote anayefahamu datrari bingwa anipatie maelekezo maana nina tatizo hili na nimeshafayiwa operation mara moja bila mafanikio. Au kwa yeyote...
Weight Loss Water TherapyPosted on April 7, 2012 by admin
In a time when more and more people are becoming conscious of their health and weight, countless methods and concepts are popping up...
Utafiti wasema unywaji wa angalau soda mbili kwa wiki huongeza hatari ya kupata kansa ya tezi kongosho; viwanda vyadai utafiti una walakini.
Mapema mwaka huu iliripotiwa na majarida kadhaa sehemu...
Red Palm Oil, the staple oil in the Africa and Asia continents, naturally contains unique phytonutrients that are proven to be beneficial to human health. The oil palm (Elaeis guineensis), from...
​
WAKATI kondomu feki zilizopigwa marufuku Uingereza mwaka jana zikiwa katika mzunguko nchini Tanzania, kesi za gonjwa la ngono hatari lisilotibika zimeongezeka kwa asilimia 25...
Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili...
Heshima kwenu wadau,
Njia ipi ni nzuri na safe ya kujifungua kati ya normal way ya kupush mtoto au surgery..
Msaada please kwa mnaoelewa vizuri hizo mambo
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA
Habari wanajamii
Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo:
1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa...
Habari wana JF
Mimi ni kijana wa kiume...kwa muda wa wiki kadhaa sasa nimekuwa nawashwa kwenye korodani,hali hii imezidi na sasa kumetokea michubuko upande wa pembe za korodani (kulia na...
habari ndugu zangu....nimekuwa nikiongezeka uzito kwa haraka na kwa muda mfupi...nahisi kuna tatizo katika ulaji wangu naombeni msaada wa jinsi ya kupangilia vyakula na njia nyingine yoyote mbadala
jameni ukombozi unakaribia! soma hii hapa chini!
The toddler, now two and a half, was taken off standard medication a year ago, with no signs of infection.
Under the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.