Habari wana JF kuna rafiki yangu kaowa wiki mbili zilizopita ila tatizo linalomsumbua na kumkwaza ni kua mke wake anapata maumivu makali sana wakati wa tendo na kibaya zaidi ni kua hafurahii tendo...
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha State University cha Jijini New York nchini Marekani umesema ya kwamba manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.
Pia watafiti hao...
Bila Shaka Mu Wazima madokta wangu!
Mwenzenu huku ari ni ya utata sana, kwani ninatatizo la kula sana takribani kilo moja na nusu
Hiyo ni kwa mlo mmoja tu yaani asubuhi, na mchana ukifika mwendo...
Wataalamu, poleni na majukumu, hongereni kwa kazi....
Jamani, mi nimewahi kutana na watu wakinieleza kuwa wapo baadhi ya wanandoa ambao mmoja katika hiyo ndoa ni HIV +ve wakati wingine ni -ve., na...
Salamu kwenu wataalamu wote! Hata wadau wote wa jukwaa hili.
Naomba kujua, je kondomu za kiume kutoka kampuni gani angalau ni sahihi kwa (a) kuzuia virusi vya UKIMWI na (b) kuzuia mimba.
Naomba...
Habri JF kuna kitu naomba kukileta kwenu tusaidiane kulitatua. Tatizo la kutojiamini mbele za watu. Mtu anaweza akawa anajua kitu lakini akaogopa kujielezea mbele za watu.hasa linapokuja swala la...
Habari wana jf, mchumba wangu anatokwa na uchafu ukeni mweupe na umeganda kama mtindi lkn hautoi harufu, nimemgundua jana akaniambia hajui ni nini, utakua ni ugonjwa gani na sababu ni nini? na...
Habari wana jf, mchumba wangu anatokwa na uchafu mweupe ukeni na umeganda kama mtindi lkn hautoi harufu, atakua ana ugonjwa gani na tiba yake ni nini? Pia naomba kufaham mimi naadhirika vp maana...
Caffeine, a naturally occurring drug, is found in coffee beans, tea leaves cacao pods and fruits of plants. It forms a part of various popular products and beverages, like sodas, tea, coffee...
Mwanamke akiwa anabanwa na mkojo mara kwa mara muda nwingine anatoka kukojoa lakini baada ya dakika tano tu anabanwa tena lakini hajisikii maumivu wala kuchoka wala dalili zingine za magojwa je...
Kuna ndugu yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa ngozi,tumejaribu kutumia dawa tulizoandikiwa na daktari,alionyesha dalili za kupona lakini hali imerudia tena.
Leo kuna dawa tumeambiwa tununue inaitwa...
Ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na harara zilizochanganyikana na chunusi tangu mwaka 2006, nimekwenda dispensary na mahospitali mbalimbali lakini naona hakuna mafanikio. mara ya kwanza...
IKIWA LEO NI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HEBU ONA HII SURA YA MTOTO YATOKEA KWENYE TUMBO LA MAMA MJAMZITO,,,
Ukiangalia vizuri Picha hii utaona sura ya mtoto imetokeza kwenye ngozi ya...
Pilipili mboga nyekundu inatibu Maradhi mengi mojawapo haya hapa.
(1)Blood Pressure (Maradhi ya Presha) Tumia Unga wa Pilipli mboga nyekundu pamoja na maji ya Moto glasi moja itakusaidia kutibu...
Topetope au stafeli?
https://m.facebook.com/photo.php?fbid=349339301851876&id=265573826895091&set=a.265581016894372.64870.265573826895091&_rdr#349365355182604
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.