Nimefika Muhimbili jana muda mbili asubuhi. Nilimabiwa kuna utaratibu mpya. Nilipanga foleni kupewa namba. uipewa namba unapanga foleni kuitwa kupeleka kadi ya bima au kama unalipa cash. baada ya...
How to know if my immunity is weak
Because Revivo is the leading Immune supplement we often get a lot of worried readers of our email newsletter who are either:
1) not really sure whether...
nILIKUWA NAOMBA NAMBA YA MANaging director wa msd maana sisi wagonjwa wa kansa wa hospital ya ocean road cancer institute ( ORCI), Hamna dawa za kansa tangu DECEMBER 4, sasa wagonjwa wanakufa. pls...
habari zenu wanajf! naombeni kuuliza,ivi is it pocbo kupata kumpa mwanamke mimba(ujauzito) endapo kila siku unasex nae bila kupumzika japo siku moja?msaada ndugu wajuzi wa mambo
Wataalamu wa afya wanasema kuwa wanawake barani Ulaya wanafariki zaidi kutokana na saratani ya mapafu kuliko saratani ya matiti.
Wanaelezea kuwa saratani ya mapafu ndio imekuwa sasa saratani...
Wataalam nimemeza Dawa za mmmaleria na nimetapika baada ya muda mfupi je naweza rudia kumeza nyingine na je kuna muda maalum ukipita siwezi rudia tena msaada tafadhali
Asalamu waleykumu waungwana!poleni kwa majukumu waungwana.....
Kuna mtu kanijia juzi anadai yeye ni hiv+ na boy friend wake ni hiv- sasa yeye anahitaji mtoto na mtoto wake asiwe na virusi vya...
Ndg wadau, naomba kuuliza km bima ya afya (nhif) ina.cover na gharama ya miwani ya macho na km haijumuishi ni wapi naweza kuipata kwa bei ya kupoa kidogo na bila zengwe. Mi natumia photocromic...
MUST READ! The Danger Of Using A Mobile Phone While Charging
Many people are guilty of this! I guess you should stop it after reading this and please tell others about it...
A few days ago...
Ninaishi na mtoto wa kike wa miaka 12, alikuwa anaishi kijijini na bibi yake na kwa sasa naishi nae huku mjini. Huyu mtoto kifupi kakulia mazingira magumu kimaisha na amedumaa pia, ana miaka 12...
Nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakitamba kuwa wamepona Malaria, Typhoid na magonjwa yote yanayo husiana na tumbo baada ya kutumia kinywaji cha KONYAGI.
Naomba wataalam mseme neno juu ya hili...
nimekuwa nikisikia na kukuta baadhi ya watu wakiunga mkono kugida vinywaji kama valeur, konyagi, Regency, viroba,na vingine laini kama amarula.wakidai inasaidia kutibu na kumfanya mwanaume katika...
Wataalamu wa tiba wameshauri kua watu ambao afya yao inakabiliwa na uwezekano wa kukumbwa na saratani ya kibofu, wapewe dozi ya aspirini.
Jarida linalochapisha habari za utafiti wa wataalamu...
(NaturalNews) Microwaves absolutely decimate the nutritional value of your food, destroying the very vitamins and phytonutrients that prevent disease and support good health. Previous studies have...
Me ni kijana nina mpenzi wangu tuko katika mahusiano miaka minne sasa hapa katkat alisumbuliwa sana na kifua lakin hakuwa anatkwa na makohoz,hospital walikua wanampa dawa za kulainisha hadi...
ninmwezi mmoja tu tambu ni fanye mapenzi na dada ambaye baada kumfanya tulienda maabara kupima maana nilimuona anavutia sana na alikuwa na umri wa miaka 19 tu hivyo nikaamini atakuwa mzima. Baada...
Habari zenu wadau, nina mtoto mwenye umri wa miezi 5, alizaliwa dar, baada ya mwezi na nusu akahamia kondoa ndo tunakoishi mpaka leo, baada ya mwezi mmoja ngozi ya mgongoni ikaanza kukakamaa na...
AFYA bora ndiyo msingi wa maisha ya kila binadamu, bila kuwa na afya bora hakuna maisha. Kwa sababu maradhi hukaa mbali na mtu mwenye afya bora na maradhi hukaa karibu na mtu mwenye afya mbovu...
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA
Habari wanajamii
Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo:
1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.