Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wanabodi, Wimbi la Tanzania kuwapeleka wagonjwa wetu nchini India kwa matibabu, limeendelea. Kwa vile mimi ni mmoja wa Watanzania niliotibiwa nchini, India, nakubali kuwa India inasaidia kwa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wakuu.. Naomba kupata maarifa kuhusu hii kitu kuamka kwa uume wakati wa asubuhi kwa wanaume wengi..na baadhi huwa hawaamki na hiyo hali..lakini hawana tatizo la kujamii kwa maana wanafanya...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wanajamvi nahitaji msaada wenu kumpata daktari wa ENT, mwanafamilia wangu anatatizo la uvimbe sehemu za shingoni na ameshauriwa kuonana daktari wa ENT. Kama unamfaham dr. ambaye ataweza kumuona...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
habar wapendwa?imekua ikinitokea mpenz wangu anakaa mji tofaut na wangu anapokuja huwa ni kuduu mwanzo mwisho huwa sitoki ndan baada ya wiki huwa naishiwa nguvu naweza hata jogoo ashindwe panda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
A healthy diet, against cancer It is true, nothing guarantees us health, even the well established lifestyle, but we can make small changes to reduce the risk of diseases of the most serious such...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari jf members, nina miaka miwili nikiwa nawashwa masikio sana tatizo ni nini? Niliwahi kwenda hospitali nikaambiwa nina alegi nikapewa dawa lakini sikuona mabadiliko yeyote. Naombeni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cjui nn tatzo hasa lnalo sababisha primary ejaculation?yaan me hauchkui hta dk 5!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadhungu wanajitahd kutafuta dawa ya UKIMWI wanashindwa,je inamana na dawa za magonjwa kama kisukar,moyo,kiharusi,figo na ini pia wanashindwa kutafutia dawa zake 2kapona kabisa?2saidien wenzenu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wadau, mm kijana wa kiume naomba kufaham iwapo zipo njia mbadala za kuweza kufaham iwapo una ukamilifu au upunguf wa nguvu za kiume bila kuhusisha tendo la ndoa au ngono? niliwah kuulza kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salamu! Mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya mgongo kwa muda mrefu (kama mwakammmoja na nusu) Amepatiwa matibabu mbalimbali bila mafanikio.Mgongo unauma kwa kuhamahama ,kuna wakati unauma sehemu...
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Msaada tafadhali Ninaumwa upande wa kushoto kwenye mbavu, mguu wa kushoto nao unauma kama hauko poa poa hivi lakini zaidi ni kwenye eneo la mbavu za kushoto. Tafadhali msaada Mokoyo
0 Reactions
2 Replies
6K Views
dr naomba kujua fangus ni muda gan huchukua had kusababisha ugumba na tatizo kama hili likitokea solution yake ni nn.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafadhali wana jf msaada wa kimawazo,nilijifungua mwezi wa kumi na moja,wiki moja baadae nikiwa maliwatoni nilipata maumivu ya ghafla kichwa kikawa kinapwita na maumivu makali yaliyodumu kwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
jf. nilipost kuhusu tatizo langu la masikio kuunguruma kwa kweli nashukuru kwa ushaur niliopewa na namuomba ndg stephot anisaidie zaid kuhusu mahali ilipo hosp ya MNH na kama inawezekana anitumie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu madaktari na wanajamvi wote. Samahani leo ningependa kujuwa kuhusu MziziMkavu, ningependa kupata jina lake halisi, mahali anapoishi, alipozaliwa, miaka yake, kazi zake kwa sasa, na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa,nawaomba madactari na wenye kufahamu hili; 1.ninapata maumivu makali upande wa kushoto na kulia mwa abdomen. 2.mkojo wa njano sana na unaharufu kali ikiambatana na kukojoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF naomba msaada kwa anayemjua daktari mzuri wa magonjwa ya mifupa pamoja na presha anayepatikana hapa Dar es Salaam. Mama yangu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya mifupa, kuvimba miguu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, mimi mtoto wangu anasumbuliwa na viuvimbe vidogo kwenye macho ukibinjua jicho kwa chini au juu kuna ngozi nyekundu kwa ndani basi mtoto wangu anatokwa na vijipu vidogo sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1.Je ni kwa kiasi gani mwanaume aliyefiti[sexualy] akafanya per one match? yaan mara ngapi? 2.je ni kwa kiasi gani[percentage wise] mwanaume aliyefiti hushindwa kusababisha mimba? naomba mnijuze...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello Jf doctor Naombeni msaada wenu jamani Nimekuwa nasumbuliwa na tumbo la kuuma kwa mbali na kuacha.. Haliumi sana ila kiasi, na nikila linatulia... Sasa cha kushangaza nikienda haja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom