Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Je mkojo wako unakwama wakati wa kukojoa au wakati wa kufika kileleni unapata maumivu makali? Je mkojo wakati wa kutoka unahisi maumivu makali? Je unasikia maumivu wakati wa tendo? na mengine...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
KWA UFUPI TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) kwa kushirikiana na watafiti wengine wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, inahangaika kupata majibu ya kwa nini maambukizi ya ugonjwa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikiaga watu wakisema tu 'tumpeleke hospitali akapimwe akili' swali hapa hivi vipimo vikoje koje? kuna mwenye ufahamu? kuna mashine zinapima nini?damu? au?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Human breast milk naturally contains many of the same cannabinoids found in marijuana, known to be vital for proper human development.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bonjour !great thinkers hivi naomba kuuliza je ukiugua na umepata upungufu wa damu je? Dna itabadilika ? Au hiyo damu huwa inajitenga ?na kama inajitenga inaenda wapi? Jamani mwenye jibu naomba...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Niko kwenye ndoa kwa muda wa miaka 3 sasa sijawahi kutumia njia ya uzazi wa mpango hata siku moja toka kuzaliwa kwangu ila tatizo ni kwamba sipati mimba na MP naenda kama kawaida ila huwa napata...
0 Reactions
29 Replies
18K Views
KITAIFA Na Herieth Makwetta Posted Februari9 2013 saa 23:55 PM KWA UFUPI Utafiti wa awali uliofanyika kati ya mwaka 2007 hadi 2010, ambao ulijulikana kama HIVIS-03, ulihusisha...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu... sijui labda ni mawazo yangu lkn nimegundua siku hizi kumekuwa na wimbi la hawa madaktari wanaojiita wa tiba mbadala. hivi siku za nyuma walikua wapi? utasikia mara usile...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Listen to Tunda la Wanawake Komamanga on Hulkshare - Free Music Streaming & Download
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba msaada wa ushauri yapi mafuta sahihi kwa ajili ya ngozi yangu,mimi siyo mweusi wala mweupe nipo katikati(maji ya kunde) natafuta mafuta yasiyo cream kwa ajili ya ngozi.Nimetumia...
0 Reactions
12 Replies
28K Views
Wanabodi, Kwanza nikiri kuwa mimi sio Dacktari. Kuna debate inayoendelea kwa muda mrefu sana kuhusu kitu kinachosababisha AIDS. Kuna Wanasayansi wanaosema HIV Virus haisababishi AIDS na kuna...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajamii, Naomba mtu yeyote mwenye kujua jinsi ya kuwasiliana na Dr. Massawe aliyekuwa anaendesha hospitali ya THI. Kama kuna mtua anayefahamu anakofanya kazi siku hiuzi tafadhali anifahamishe...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Doctor wanted to know, how can a woman get pregnancy faster with the following circle? December 27 to 31 Menstrual january 28 to 2 second menstrual and how to increase chances of having twins...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
habari wanajamvi,nahitaji kujua ni dawa gani naweza kutumia baada ya kung'atwa na tandu?
0 Reactions
7 Replies
27K Views
wakuu habari zenu? naomba mnisaidie kunielekeza sehemu ya kufanyia mazoezi ili kuweka mwili fit yaliyo maeneo ya kinondoni au mwananyamala namaanisha gym.mkinisaidia na bei ntafurahi sana,nataka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
,i was wondering if there is cure for that ?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naomba misaidie nifanye nini ili ni nenepe nina 22yrs na nina kilo49
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natanguliza shuukurani kwa majibu nitakayo pata .....
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Amani kwenu wanajamii forums.Mimi nafanyakazi kwenye sehemu yenye vumbi na moshi.Kuna namna ya kufanya macho yawe meupe.
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Nauza sabuni safi iliyotengenezwa kwa mafuta ya mise kutoka kigoma, inafaa sana kama tiba kwa matatizo yote ya ngozi. Note; sabuni hii pia ni nzuri mno kwa kuogeshea watoto wadogo na kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom