heshima mbele wakuu.
najua kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya zetu, hivyo basi nahitaji kufahamu idadi ya bia tunazostahili kunywa kwa siku ili tuepekane na madhara yanayoweza kutupata...
Kulala usingizi wa kutosha kila siku kutakupunguzia sana safari za kwenda kumuona Daktari. Usingizi ni kinga ya magonjwa kama kisukari, magonjwa ya moyo, kunenepa kupita kiasi, kusahausahau mambo...
Food as Medicine
HEADACHE? EAT FISH!
Eat plenty of fish -- fish oil helps prevent headaches..
So does ginger, which reduces inflammation and pain.
HAY FEVER? EAT YOGURT!
Eat lots of yogurt...
ALL ABOUT VITAMINS, MINERALS AND SUPPLEMENTS
In general the way to get crucial vitamins and minerals is through healthy
foods, so for a completely well-nourished person, supplements may be a...
Mobile Phone Radiation affect in human body
WHO and mobile phone radiation
WHO - World Health Organization
WHO (World Health Organization) conducted a detailed study about the affect of Mobile...
Habari wana jamii wenzangu, nimekuja kwenu naitaji msaada wenu pia hata tiba kama ipo.
Tatizo langu linalo niweka matatani na katika mawazo, mimi kolodani zangu inafikia wakati yananiuma sana...
Mwaka 2007 nilienda California kwa ufadhili wa mashirika flan ya dini ya hukohuko marekani nilikaa kule kwa miez 10 then nikarud bongo likizo nilivyorudi nilikuwa na wamarekani wawili mwanaume na...
Nilishangaa kuona clinic moja ya IVF mitaa ya mikocheni wakati napita nikiwa kwenye gari la mshkaji, nikaropokwa 'atakua amefungua kwa ajili ya wazungu!' nikidhani Dar niliyoiacha enzi za mwalimu...
Poleni na majukumu ya hapa na pale wanajf wenzangu.
Naomba ufafanuzi katika hili jambo kwa wale wanaofahamu tu, kama hujui ni bora ukae kimya utaonekana unajua..
Ni hivi jamani, eti inakuwaje...
Naomba mwenye ujuzi na haya mambo.
Naomba kujua madhara pindi mtoto anapoingiza kitu "mf: karanga/harage nk." puan, madhara yake pia ni hatua gani kuifanya kama huduma ya kwanza(fast aid) iwapo...
Habari wana JF Kheri ya mwaka mpya
Siku za hivi karibuni nimekubwa na hali ambayo sijaweza kuielewa kama ni ugonjwa au la, ni kwamba kila niamkapo asubuhi au mda wowote kama nilikuwa nimelala...
Mimi ni msichana,nimekua nikipata period vizuri tu na last month nlipata tarehe 1 dec, ila mpaka leo cjapata period n mzunguko wangu ni wa siku 28 na kwa mwezi wote huu sijakutana na mwanaume...
Hivi karibuni nilikua nasumbuliwa na maumivu ya tumbo nikahisi naweza kua na uvimbe tumboni,nikaenda lugalo hosp wakanifanyia ultra sound kwa kuweka mashine chini kidogo ya kitovu then badae...
Aloe Vera as a cure
Tremendous caution should be taken to claims of Aloe Vera curing certain ailments and the following should be borne in mind
There is little medical research for Aloe Vera...
naomba tujadili juu ya maziwa ya ng'ombe, watu wenge husema,mtu akinywa sumu maziwa huweza kumsaidia akapona, pia mtu anayefanya kaza mahali penye vumbi,moshi,kamavile viwanda vya tumbaku etc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.