Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba kujua ni kwel pombe Kali kama konyag na nyinginezo ukinywa mara kwa mara zina madhara kwenye ini?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hivi inakuaje katika kufanya mapenzi baada ya bao la kwanza ninakuwa na hamu ya kuendelea lakini kiungo changu hakitoi ushirikiano mpaka nijichue.Nini sababu kama kuna njia ya kulitibu hili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
dawa za kuongeza ukubwa wa makalio ya akina dada kupendwa, dawa hizo pia zina madhara kwa afya ya binadamu. Wataalamu wa mambo wanadai kwamba pamoja na kuongeza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau ningsumbuliwa na tatizo la kuongezeka kwa korodani langu la upande wa kulia pamoja na mrija wakupitisha manii, sasa naombeni mnieleze hi inasababishwa na nini?
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Kuna rafiki yangu aliniforwardia hili tangazo la health check muhimbili kama miezi sita iliyopita. Jumamosi iliyopita nilienda kwa kweli nilifurahia sana huduma zao. Nimeona sio vibaya kuliweka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
KWA UFUPI NI SARATANI, MAABUKIZI, KUVIMBA NGOZI NEW YORK, Marekani VIDEO iliyoonyweshwa mwishoni mwa wiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii, ambayo ilielezea madhara ya taratibu anayoyapata...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Habari zenu wana jf, ninaomba msaada wenzangu, mke wangu anaendelea kupata damu ya uzazi huu ni mwezi wa pili toka ajifungue, ingawa inatoka kidogodogo. Je hii ni hali ya kawaida au atakuwa na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hivi inawezekana kwa daktari kuweza kung'amua kua unamatatizo au huna tatizo la moyo kwa kufanya vipimo vya damu tu na kusikiliza mapigo yako ya moyo?kama ni kweli ni vipimo gani hvyo vya damu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamvi naomba mnijuze dr mzuri wa circumcision jijini dar kamanda wangu amefkkia umri wa tohara. nimesikia habari ya plastic circumcision ambayo haikuwepo enzi zetu what's it?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanasanyansi katika chuo kikuu cha Saskatchewan cha nchini Canada wamesema ya kwamba manii(semen) yanayotolewa na mwanamume wakati wa kujamiana na mwanamke yanasaidia mwanamke kuwa na uwezo wa...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Kwa ufupi NI SARATANI, MAABUKIZI, KUVIMBA NGOZI NEW YORK, Marekani VIDEO iliyoonyweshwa mwishoni mwa wiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii, ambayo ilielezea madhara ya...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Standing up the back pocket is a fine place to stow your wallet. But when you sit down you start an avalanche of body mechanic problems. When one cheek is higher than the other you end up...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
WATU WENGINE WANAWEZA KUWA NA WENZA WENYE UKIMWI BILA KUAMBIKIZWA KWA MUDA MREFU AU HATA WASIAMBUKIZWE KABISA-TAARIFA Utangulizi Neno ukimwi ni kifupisho cha maneno “Upungufu wa Kinga...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Habari, kuna wenzangu flani wanadai kwa kunywa distilled water for a day bila kula kitu chochote,unafanya detoxification katika mwili,na kwa ujuzi wangu mdogo najua kwamba distilled water haina...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
NSSF kuokoa fedha za kigeni kwa kujenga kliniki za magonjwa makubwa nchini Na Mwinyi Sadallah 2nd December 2012 B-pepe Chapa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asperger’s Dropped As Separate Condition From DSM-V The American Psychology Association voted to finalize entries for the fifth edition of the Diagnostic and Statistical Manual of Mental...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
serikali kupitia kwa Dk Husein Mwinyi' amesema wanaume 287,055 nchini wamepatiwa huduma ya tohara kwa kipindi cha miaka miwili. Amesema ni sehemu ya mkakati wa kupambana na maambukizi ya Ukimwi...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
kwanza kabisa heshima zenu wana jf.mimi naomba kusaidiwa juu ya jambo hili,kuna madhara gani endapo mtu atakuwa akinyanyua vitu vizito(vyuma)?natanguliza shukurani.
0 Reactions
15 Replies
18K Views
Nilijaribu kwa mara ya kwanza kimzaha zaha kupiga punyeto, nikaenda kwa mara nyingine, ni miaka miwili sasa najaribu kuacha inashindikana. Nikijaribu kama miezi miwili hivi najikuta napiga tena...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom