Nimefurahi sana kusikia Tanzania kuzindua mpango wa kutokomeza VVU kwa watoto hio tarehe 1 Desemba huko Lindi. Ombi langu kila mtu ajiwekee lengo kuepusha angalau mtoto mmoja asiambukizwe VVU...
Salam kwa wote.Kuna jamaa yangu japo si dokta alikuwa anaongea kwauhakika kuwa mwanamke anaweza kusafishwa kizazi kwa kutolewa na kurudishwa tena. Dokta na wajuzi kuna kisa huyu jamaa yangu...
Mara nyingi wanawake wakati wa ujauzito wanabadilika sana kihisia. Utakuta kwa muda mfupi kafurahi halafu umefanya kitu kidogo umemkasirisha. Wakati mwingine wanaweza wakawa wanahasira au kuwa...
Nawaasa sana wana JF wenzangu kuwa makini sana na hizi dawa za kichina;
wiki kama 3 zilizopita, alikuja jamaa mmoja kigamboni katika ofisi ya serikali akijiita Dr Rafael kama mmoja wa wa madaktari...
Katika taarifa ya habari itv, mdau mmoja wa mifugo kasema kuna lishe ambayo ngombe huongezeka kilo 2 unusu kwa siku. Hawa ni ng'ombe wa nyama. Haya si madhara kwa mtumiaji jamani? Kwa miezi 6...
Canadian researchers at the University of Manitoba have found a solution to the humble condoms fatal flaw nanoparticles which is resistant to HIV/Aids infection.
Dr. Xiaojian Yao...
wakuu inakuaje mtu anawashwa sana na kubabuka hadi ngozi kutoka kwenye viungio vya mapaja na sehem yake ya vagina mara baada ya kumaliza menstruation.ni kind of infection or pads zinakua...
Let's say it's 6.15pm and you're going home (alone of course),
...after an unusually hard day on the job. You're really tired, upset and frustrated. Suddenly you start experiencing severe pain in...
Ni muda kidogo umepita tangu niliposoma post ya Natalia(kama sikosei)akiomba ushauri kuhusu kupunguza uzito,watu wengi walichangia mengi,mimi pia yamenisaidia sana na nasema asante kwa mawazo...
Grapefruit may turn more drugs deadly, scientists find
Canadian scientists say the number of common prescription drugs that can interact badly with the tart citrus is climbing, with the potential...
nina mwaka wa tano huu nakabiliwa na tatizo la kutopata choo,kwanza nilikuwa napata choo kigumu sana wakati wakujisaidia,baadae imefikia bila ya dawa za kufungua choo hakuna kitu,Nimeambiwa...
Wadau,
Nina mwezi wa nne mfululizo naumwa amoeba na nimetumia kila aina ya madawa lakini wapi haitoki. Mara kadhaa nikienda maabara naambiwa nina amoeba na minyoo ya ascaris. Nimetumia sana...
1. Hakikisha unapoongea na simu unatumia sikio la kushoto
2.Usinywe dawa na maji baridi
3. Usile heavy meals baada ya saa kumi na moja jioni
4. Wakati simu yako imeisha charge na kubaki bar...
Hii Tovuti Virtual Surgery & Patient Education – SurgerySquad.com ina mambo mbalimbali kuhusu upasuaji na matibabu yake.Utajifunza kuanzia upasuaji wa tezi hadi upasuaji wakati wakujifungua...
Herbal preparations made of plants including ginger, sweet potatoand cowhage have been shown to be effective in treating male and femaleinfertility by several clinical trials.
SEVERAL studies...
Eti mwanamke akimaliza leo siku zake na kesho ukafanya naye mapenzi anaweza kupata mimba na pia ni muda gani dalili za mimba huanza kujitokeza ikiwa mwanamke atashika mimba
Nimeangalia katika TBC wasichana wanalazimishwa kuinua gogo zito,hatimae likawashinda na hatimae kumuangukia mmoja na kupoteza fahamu na kupotezea kipindi hewani na kuweka matangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.