Ninaye mdogo wangu ambaye anakaribia kumchumbia rafiki yake wa kike.Moja ya vitu ambavyo bwana mdogo alivifanya,ilikuwa ni kumuuliza msichana wake kama anayo magonjwa yoyote ya hatari.Msichana...
Everyone knows that Viagra ® is a powerful drug for men, used to enhance sexual function and performance, but very few people know the secret that it can also be made at home by using foods which...
habari wajumbe!
nimesikia kuna kifaa cha kuangalia siku za hatari kwa msichana, kujua kama yai linakaribia kushuka au la,
naomba ufafanuzi kinaitwaje? kinafanyaje kazi, na vinapatikana wapi?.
thanks
27/28 octoba nilikutana kimwili na Girl frnd wangu na kwa yeye siku zake huangukia tarehe 1 au 2 kila mwezi, nimeambiwa eti mpaka sasa hajaziona siku zake it means she is pregnant according to...
Mwanamke kuwashwa sehemu za siri kwa nje je ni ugonjwa? Na hizi pads tunazotumia zinaweza kuwa zinachangia? Maana mimi binafsi huwa natumia always lakini zinaniwasha sana sijui wasichana wenzangu...
wataalamu kuna rafiki yangu ana umri wa miaka 22 , uso wake ni wa mafuta anasumbuliwa na majipu usoni huwa yanatokea mara kwa mara hivi nini tiba yake.naombeni kujua amepima HIV hana ivi tatizo...
Wana Jamvi tafadhali nisaidieni mwenzenu nikipata kabao kamoja hoi sitaki tena next raundi,nipeni mchongo wa dawa madhubuti angalau nipige tatu za kuanzia naogopa kuwa mbofela mie.
Habari za leo wadau wa jukwaa la JF Doctor, mwenzenu nilikua na muda mrefu sana sijafanya ngono kama miaka sita hivi, sasa nimepiga show ya kufa mtu na dada fulani hapa majuzi. tangu baada ya...
Habari zenu wadau!
Wikiendi iliyopita nlikuwa nimechili mahali fulani (actually ni bar), nkiwa nakunywa kilaji nkisubiri supu yangu ya mkia.
Pembeni ya meza nliyokuwepo, kulikuwa na wadau...
Pamoja na kuwa watu tunafahamu kuwa mama mjamzito anatakiwa kula vizuri kwa ajili ya kulea mtoto aliye tumboni na kuweza kuzaa mtoto mwenye afya kuna jambo lingine napenda kuongezea. Mzazi yeyote...
Salaam wakuu..
Mtoto wangu ana week 3 sasa,week ya pili sasa analia huku akirusha miguu na mikono kwa uchungu as if tumbo linamkata.Wazoefu wanasema eti akimaliza mwezi ataacha kujinyonga kwani...
Wana FJ napenda kujua kuna athari gani ambazo zizaweza kumpata mtu mwenye tatizo la uvimbe katika tumbo la uzazi. Napata shida jinsi ya kumpa msaada mtu wangu wa karibu, je dawa yake au suluhisho...
Habari zenu wana jamvi. Niko na mke wangu karibuni mwaka sasa tangu tuoane na kufunga ndoa lakini bado hatujabahatika kupata mtoto. Kuna wakati mke wangu huhisi dalili zote za ujauzito...
Wanajamvi heshima kwenu,
naombeni kuuliza kuwa kwa mwanamke mwenye bikira anaweza kujisafishaje kama kuna wana jf hapa wameshauri unaweza ukafanya douching ili kuisafisha vizurai k yako?
Na je...
Habari za jioni wana jamii forum,
nina mpenzi wangu ambaye tumekubaliana kutofanya mapenzi hadi tutakapofunga ndoa ,
kutokana na nature tumejikuta tunajiingiza majaribuni na kuishia kukis, romance...
Habari zenu Wataalam
Natumai mmeamka salama salimin.
Mpenzi wangu anaumwa sana na kichwa kimeanza jana bt sasa hv asubuhi kimezidi,
Anasema anasikia ni kizito na kama kizunguzungu
Akifumbua...
Habari zenu ndugu zangu,na tatizo
mwenzenu nikafanya mapenzi na mr c skii rahaa ya tendo kabisa na wala
cjawahi fikia kileleni,ila nikifanya mwenyewe kwa kujichua nafika
kileleni,na c wa...
Nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayohusu afya zetu lakini mojawapo ya jambo linalonitia hofu ni kuibuka kwa watu wengi wanaodai wao ni mabingwa wa kutibu magonjwa mbalimbali na ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.