Habari zenu wana jf ?
Kama mu wazima wa afya basi jina la bwana lihimidiwe ?
Nakuja kwenu tuweze kubadilishana mawazo kuhusu tatizo linalonikabili ?
Ni kwamba mwenzenu kila ninapokutana faragha...
Wana jamvi heshima kwenu,
mimi ninaumwa sana mwili mzima lakini kila nikienda hosp. Naambiwa hawaoni ugonjwa nimeshapima vipimo karibu vyote sasa imebakia kipimo kimoja tu lakini kinaniogopesha...
Ten years ago, Lee Gardner was fine with forks. Heck, the UK man was so fond of the utensils, he even used to eat with them.
That is, until his darkest forking hour.
One day, BBC reports that...
haya kwa wanaume hii ni habari njema ; 11th Annual American Association for Cancer Research (AACR) International Conference on Frontiers in Cancer Prevention Research
Wanajamii nilikuwa Muhi2 kumuona Mgonjwa Mwaisela4.
Jirani yake yupo mama amelazwa kafungwa mikono na miguu kitandan nguo kifuani hana hawez kujihudumia baada ya Haja kubwa na ndogo...
wakuu habari zenu,
Niliwahi kusikia kuwa kuna mimba za kupandikizwa(mimba za chupa)
kama kuna anaefahamu hospitali yoyote hapa nchini kuna teknolojia hiyo tafadhali mnijuze.
Natanguliza shukrani.
habari zenu wanajamii..nina ujauzito wa miezi saba sasa,tatizo nililonalo kwasasa ni kuumwa kwa kitovu! kitovu huwa kinauma mara kwa mara! sio maumivu makali sana na hayachukui mda mrefu yanaisha...
Habari zenu wakubwa.
Mke wangu kajifungua jana saa 4 asubuh tatizo toka ajifungue maziwa hayatoki yan mtoto hajanyonya mpaka dakika hii, mama mtoto anaumwa tumbo kama la uchungu, nisaidieni kujua...
tatizo hili la ''hyperhidrosis'' linatatuliwa na dawa iitwayo DRICLOR kwa mwenye ufahamu hii dawa inapatikana PHARMACY gani hapa jijini DAR ES SALAAM anijulishe hapa au ka vp kwa SMS Kene...
Za jion wana Jf bila mu wazima,tumbo limekuwa likinisumbua dawa nimekunywa lakini shida iliyopo linakuwa linaunguruma kidogo na choo napata kwa shida sana na hapo ni mpaka nijilazimishe lakini...
Mdogo wangu sikio linamuuma, anadai akitafuna kitu anapata maumivu.
Anahis kuna kitu kinatembea na kwa kweli anahiis maumivu mpaka analia. Jana usiku hakulala kabisa, nimemnunulia dawa ya drop...
There is hope for Tanzanians with health complications related to prostate cancer, kidney stones and paediatric cardiology (heart complications among children) thanks to specialists coming in...
The Six Most Important Minerals and Vitamins!
When we diet and cut down our calories, we usually limit the intake of certain foods, which means we may not get all the vitamins and minerals...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.