Source tv iliyokanisha mara ya kwanza TBC ccm
Ni mgonjwa wa ebora ambaye jeahatengwa kwenye dalili za ugonjwa wa ebora na sampuli zake zapelekwa Uganda kwa uchunguzi zaidi
Sexually transmitted diseases (STDs) in men facts
Sexually transmitted diseases (STDs) can be spread (transmitted) by intercourse, kissing, oral-genital contact, and sharing sexual devices...
New Study Finds Less Risk Reduction Than Previous Research.
Aug. 12, 2012 -- Daily aspirin use, long recommended for people at high risk of heart attack, may also reduce the risk of dying from...
Kwa kawaida wanaume wengi katika kipindi cha balehe katika chuchu zao kwa ndani huota vimatiti vyenye kama viringi au ugumu flani!! Sasa ugumu ule unapodumu muda mrefu husababisha mwanaume kuwa...
Madaktari nilitokwa na kidonda cha homa kwenye lip ya chini ya mdomo ila balaa zaid kila nikinywa maji au kula chakula hiki kidonda kinalowa na kuwa kibichi na uwezekano wa kupona unakimbia...
Wapendwa, niling'oa jino siku ya ramadhani 3, hadi leo ramadhani 23 kidonda kinanisumbua. nilitumia dozi ya cloxaciline na flagile kwa siku 5 nikarudia siku 5 nyingine baada ya siku 4. Kidonda...
Habari zenu wana JF? Poleni kwa majukumu mbalimbali.
Tafadhali nisaidieni; Mama yangu mdogo ana tatizo la kunyonyoka nywele ambalo ameligundua miezi michache iliyopita. Zinanyonyoka zaidi...
UTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Johns Hopkins nchini Marekani, umegundua kuwa matumizi ya dawa za kurefusha maisha (ARV) yanaweza kuwafanya waathirika wa...
Yusra Rajabu
Na Florence Majani
JUZI, Agosti 8, mtoto Yusra Rajabu, ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake. Kwa hakika, huu ni umri mdogo mno kimaisha.Lakini, kwa masikitiko makubwa ni kuwa...
ndugu yangu anamatatizo ya kuanguka/kuzimia pale tu anapoona maiti na akilia kwa sauti ghafla anajikuta analegea na kuanguka, kwa madai yake anasema wakati anaanguka huwa anajijua lakin anashidwa...
habarini wapendwa marafiki. napenda kujuzwa ni vitu VP vinavyoweza kufanya mimba ya chini ya miezi mitatu kuharibika. vilevile napenda kujuzwa kama kuna vipimo vinavyo detect mwanamke kuwa na...
Jamani habari zenu. kama kuna daktari ataweza kunisaidia tatizo langu hili nitafurahi sana. mimi nina miaka 34 na tangu nikiwa na umri wa miaka 24 nilianza kusikia kama maralia muda wote mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.