HABARI ZENU NDUGU ZANGU NAWASALIMU WOTE!
Mimi nina mtoto wa miaka sita sasa,anatabia ya kula vitu vifuatavyo alianza toka alipopata tu akili nikajua ataacha ila kadri anavyokuwa tatizo linazidi na...
Beloved Doctors,
Kindly advice me on how to increase my Haemoglobin levels. During the initial stages of my pregnancy my HG was normal... It went to 10.9 and having tested last week it was 9...
Mimi nina matatizo yameanza kama miezi sita hivi sasa na nimekuwa nashindwa kuelewa nini tatizo hasa. Kila ninapokula chakula huwa nasikia hali ya kutapika kama kichefuchefu hasa ninapo kutana na...
Kuna a frnd of mine alilala na mwanaume wakat yupo ktk cku zake za hatar, lakn aliwah kumzuia yule mwanaume so hakupiz(hakumwaga).. Kinachomtia hofu alitakiwa ableed tar 13 na mpka leo bdo...
heshima kwenu wadau.nimepatwa na vinundu vigumu kifuani kwangu kwa muda wa miaka mi3 sasa.huwa haviumi ila vinawasha kwa mida fulani kisha vinaacha.vimetengeneza kama mafungu matatu...
Watoto wenye meno nzuri hukua kuwa watu wazima wenye meno nzuri. Ukiwafunza watoto wako jinsi ya kusugua meno na kutoa uchafu katikati ya meno kwa kutumia uzi spesheli, isitoshe pia kuwapeleka kwa...
Nina mwezi wa pili sasa unaenda, kila nikienda haja ndogo mkojo unatoka wa njano, nikisema ninywe maji mengi, mkojo unatoka mweupe kama kawaida, siku nisipokunywa maji au nikinywa maji kidogo...
Habari wana jukwaa naomba kuuliza ungonjwa wa utindio wa ubongo unaweza kuzuiriwausitokee au kama kuna matibabu ya kumwezesha mtoto wa aina hiyo kukuwa na kupata angalau skills za kumwezesha...
Ndugu wanajamvi, mimi ni mpenzi wa juisi ya kutengeneza mwenyewe. Katika kutafuta mseto wa juisi, naona mara nyingi parsley ikitumika kama moja ya mix za kutengeneza juice. Sijajua bado hili ni...
Wanajamvi, nmeskia kuwa unaeza kufanya uzazi wa mpango kwa kuruka kufanya mapenz siku za hatari; Hii ni kawaida ila njia yenyewe ya kuitambua siku halisi ya hatari ndio sina utaalamu nayo maana...
My cousin anasumbuliwa na tatizo la kusweat kupita kiasi kwapani iwe joto au baridi ..sasa nimesikia kuna deodorant ya driclor but cjui kwa hapa tz zinapatikana wapi....??? I nid ur help guyz...
US health regulators have for the first time approved a drug to prevent HIV infection.
Truvada can be used by those at high risk of infection and anyone who may engage in sexual activity...
hello jf doctors, natumai mu wazima. Nimesikia kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara husaidia ngozi ya mwanamke kuwa nyororo na yakuvutia and virseversa, je ni kweli wadau?
ulishawahi kula kitu kchachu halafu meno yanavyokua basi mwenzenu nina shida hiyo ingawa sijala kitu kichachu mwenye kujua dawa ya hii jamani anisaidie nateseka cwezi kula jamani
Anaejua dawa ya tatzo hli,kukoma kwa hedhi. Dada yangu ana mwaka wa pili sasa haijui hedhi,ilikata tu yenyewe, hajazaa wala hajawah kutumia uzaz wa mpango.
Hello GREAT THINKERS mi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27 na sijao ,nina tatizo moja kwani kila msichana au mpenzi nilie naye anifikishi kileleni,kwani nikimpiga moja tu yuko hoi,nifanyeje kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.