Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hallo JF Doctor, Naombeni msaada wa kufanya, nimemeza kamfupa kadogo ka samaki, kamekaa karibu na koo, japo maumivu hakuna ila kananikera sana. Je nifanye kukatoa au kukameza kabisa?
0 Reactions
21 Replies
19K Views
Wadau, Ninahitaji sana maziwa ya mbuzi au ngamia,naomba mwenye kufahamu yanapouzwa anijulishe tafadhali.Niko Dar es Salaam.Ahsante!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kila nikijamiiana baada ya siku mbili au tatu natokewa na vipele/ blisters kuzunguka uume na mda mwingine vinaweka maji baadae hupasuka na vinakauka. Sijui tatizo nin. Kuna wakati niliingiwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau nisaidieni kutoka usaa sikioni kunasababishwa na nini na nini tiba yake ? nina mwanagu wa miezi5 wiki nzima anatoka usaa sikioni na dwa za hopitali naona hazimsaiddi
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Dr naomba niulize, mi nina mke wangu alafu nimepiga game siku zote za hatari lakini naona damu inamtoka alafu sio nyingi na wakati bado ajamaliza circle yake? Hila bado sijampima mimba.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huduma MOI na Muhimbili tete Mikoani madaktari kazi nusu nusu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk. Stephen Ulimboka Wakati mgomo wa madaktari ukiendelea kushika kasi katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ninatatizo lamguu wakulia kuna kipindi nasikia kama mtu ananichoma nasindano kuanzia chini mpaka ktk goti kisha inapotea. Hali hii yamda mrefu hua inatokea nakupotea. Mguu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Florence Majani WAKATI idadi ya wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji ikiongezeka, imebainika kuwa njia hiyo ina madhara makubwa ikiwamo kupata matatizo ya mgongo. Mkunga na Mhadhiri...
1 Reactions
6 Replies
16K Views
wadau nina tatizo,,,siku kukiwa na baridi ninaenda haja ndogo mara kwa mara, nauliza hivi ni ugonjwa au kawaida ?
0 Reactions
8 Replies
12K Views
In theory, you should be able to digest just about any type of food you put in your mouth. But changes in food processing and preparation (think fried) not to mention lifestyle (think sedentary)...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za kazi bandugu.naomba msaada wa kidaktari au ambae atakuwa na uelewa wa ili jambo.kama mwanaume alifunga kizazi zaid ya miaka 10 hiliyopita akikutana na mwanamke nje ya ndoa anaweza kumpa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ugonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi au kuachana na mpenzi/mwenza wako yoyote yule hujulikana kitaalamu kama Takostubo au broken heart syndrome. Ugonjwa huu husababishwa na kudhoofika...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia kwa watu tofauti kwamba kati ya mapacha lazima kuna moja ana mapungufu(hawawezi wakawa sawa wote),sina uhakika wa hii ila nimesikia tu. Je kuna ukweli wowote?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf doctors,naombeni msaada wenu na hili,je kama mtu ana UTI je mimba yaweza toka pamoja na kizazi ikifika miez mi4?nisaidieni jaman?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Jamani nina mtoto wa miezi mitatu ila toka azaliwe kuna mucas nyeupe ina mtoka machoni tumetumia tiba kwa ushauri wa madaktari tulio waona lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie jamani, nina ugonjwa wa ngozi mwaka na nusu, kila nikienda hospital wananipa dawa ambazo nikimaliza kutumia baada ya mda kidogo ugonjwa unarudi tena na tena, sijui nifanye nini!
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Heshima yenu wakuu nasumbuliwa na kukerwa sana na hili jambo nimkuwa nikipata na weusi kwenye makwapa na katikati ya mapja kitu hiki kinaninyima raha. najisugua sana napooga lakini hakuna...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Hi jf doctor,mimi ni mwanamke mwenye miaka 23,nina sumbuliwa na harufu ukeeni,natkwa na harufu kali sana kiasi kwamba hata watu nilio kaa nao wanaisikia,na nina toa uchafu wa rangi ya usaa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani kwa anayefaham naomba anijuze tafadhali nataka nimpeleke jamaa yngu kuweka meno matatu ya juu.km mnafaham na bei zake naomba kujuzwa
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naitwa Kissu K. Mpini, ni mwenyeji wa wilaya ya Ifakara,mkoa wa Morogoro, Tanzania, utakumbuka mara ya mwisho nilivyotoa ushuhuda wangu kuhusu shida ya kusigina/kusaga meno-bruxism ilivyonitatiza...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom