wakuu, nina mdogo wangu a 9 year old boy, anatoka ngozi mikonon huu mwaka sasa yani mikono yake inafanana na mtu aliefuria sabun ya unga afu ikamchubua, pia hata texture ya mikono yake ts nt as...
Habari za asubuhi ndugu zangu,jaman nina mdogo wangu anasumbuliwa na maumivu ya tumbo upande wa kulia toka mwez april nimejaribu kumpeleka hospital wanaishia kumpa dawa bila kutoa vipimo...
Waziri Dk. Hussein Mwinyi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
Serikali imewatahadharisha na kuwakemea wahudumu wa afya wote wenye tabia ya kuuza damu kwa wagonjwa kuwa hatua kali dhidi yao...
Habari za leo wana JF Doctor!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo ambalo bado sijapata ufumbuzi wake. Nikiwa na dalili za ugonjwa wa maralia, sehemu ya mwisho ya uti wa mgongo juu ya...
Habari zenu madoctor wa jf, kuna rafiki yangu wa jinsia ya kike ana tatizo la kuwashwa sehemu za siri na limekuwa sugu sasa. Doctor kampima hana fungus anawashwa kwa nje, tatizo linaweza kuwa ni...
Wakuu niliwahi kusoma humu JF, kuwa kuna ndugu mmoja alikuwa anaelezea dawa ya vidonda kwa wenye kisukar. (of course hata na wasio na kisukar possibly, lakini siku hiyo alikuwa specific kwa ajili...
girlfriend wangu ana hali ambayo yeye anashindwa kuielewa, inaweza ikamchukua hadi miezi 3 hadi 6 hajaenda siku zake (bleed) mara ya mwisho kwenda bleed ilikuwa Nov. 2011 hajaziona tena hadi mwezi...
nina mpenzi wanu alibleed tar 22-4-12 na tukafanya mapenzi tar 29/4,6/5 na 13/5.. (Na tar 20/5 akableed kama kawaida)..na baada ya kubleed tar 27/5 tukadoo kama kawaida. Sasa juzi tar 3/5 akawa...
Tangu jana kuna semina inayoendelea kuhusu biashara inayo weza kukupatia kipato katika muda wako wa ziada,na kuboresha afya yako.Jinsi ya kufanya semina inaisha kesho nitumie namba yako ya simu...
Naomba kueleweshwa juu ya hili tatizo ambalo mwanamke anaambiwa homoni
zake zimepungua na ni nini madhara yake? Na inasababishwa na nini na tiba
yake nini?
kuna mdogo wangu,anatatizo,mi nikiangalia sehemu yangu ya uume kwa ndani(njia ya mkojo)kuna rangi nyekundu ambayo ni kawaida,sasa mdogo wangu yake ni nyeupe na kama kuna vi usaha kwa mbali!na kuna...
Jamani wanajamii,mimi nina umri wa miaka 17,nina korodani mbili kama kawaida,lakini upand mmoja kuna kitu kama korodani ya tatu,afu kinafanana na korodani nyingine,sasa naombeni ushauri wenu hki...
Mi nikijana 26yrs,mpenzi wang anasumbliwa na maumivu ya mguu ktk maungio karibu na kikanyagio asawakat wa sikuza zake na wakat wa baridi unavimba.tumekwenda hospt.zaid ya 2 wamepîma lakn...
hawa watafiti naona wana lao jambo baada ya kuwashauri watawa kutumia kinga ya mimba kama silaha ya kuzuia saratani ya matiti, ovarian na nyinginezo.........hawakutoa ushahidi kama watawa...
Kuna mmama mmoja alikuwa akitumia pills zikamzingua akaziacha 1wk laterakaenda hspl kuweka loop yapata miezi 5 na ss anadalili za mimba(tumbo kujaa),je km ni mimba ni madhara yapi yatampata mtt?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.