Kuna message nimetumiwa muda si mrefu,nimeona nilete hapa JF Doctor angalau mwenye kujua zaidi atupatie somo!!
SMS
Kuna ugonjwa wa tumbo umeingia kwa watoto age between 1 to 5yrs and even to...
Kama kunamtaalamu ugonjwa huu naomba msaada inapofika majira ya alfajiri saa 10-12 nasikia maumivu makali kwenye magoti kama mtu anakoka moto nejaribu kupima vipimo km s.uric acid----280...
Huwa nakuwa mchangamfu na nguvu ikiwa tu kama NILICHELEWA KULALA. Nikilala saa 23:30 au 23:45... usiku na kuamka saa 05:20 huwa najisikia vizuri sana siku inayofuata. Je kwa nini? Na je kuna madhara?
habari zenu wanajf! nlipata ujauzito lkn ukaharibika miez mitatu iliyopita..(ilitoka kwasababu nlitumia dawa za malaria ikiwa nna mimba ila nlikuwa cjajijua km nna mimba)na sasa nimekamata tena...
Naomba msaada wana jamvi, kuna hii imani ya kuwa mtoto akidondokewa na kitovu kinapokatika, ya kuwa kachululuu kanakuwa hakana kazi?je kuna ukweli ndani yake? na mtoto anatakiwa kuanza kusimamisha...
Habari zenu madokta wa jf? Mm nina tatizo la ngozi ambalo linanifanya nikose hamu ya kuishi kwa sababu kila dokta ninayemwendea ananiambia tatizo lake, mwingine ananiambia allerg ya sulphur...
Mdogo wangu alikuwa anatumia dawa za lagactil na artane kwa sababu ya kutuliza kuchanganyikia kwa miezi minne, dawa zimemletea madhara zaidi ni wiki ya pili sasa toka aache kuzimeza, tatizo ni...
Habari? je matumizi ya mipira ya mikojo maarufu kama catheters kwa watu wenye matatizo ya kibofu hasa wasichana je inaweza kuwaathiri vipi? au inaweza kutoa bikra?
JF Doctor Naomba ushauri wako ama chochote ambacho unaweza kunieleza. Nina tatizo la kifua hapa katikati kuna maumivu fulani nayasikia mara kwa mara, nilishawahi kupiga x-ray hospital fulani...
mambo vipi wapendwa. Rafiki yangu anatatizo la kuumwa kila anapolala na mke wake. Ni kwamba anasema kwa sasa limekuwa sugu zamani hata vitatu anatoka yupo vizuri lakin kwa sasa bao moja tu analala...
Umuhimu wa matumizi ya chumvi kwa Binadamu
"Salt" Chumvi.
CHUMVI ni aina ya madini yenye umuhimu na faida nyingi, kwa mtumiaji, ikiwa atatumia kwa kiasi kinachotakiwa kwenye mlo wake.
Kwa...
Titi langu moja linauma kwenye chuchu na ukibinya chuchu inatoa maji mazito kama usaha.
Nilikwmbia call me haujafanya hivyo, kuna sababu nyingi zinasababisha hili tatizo lakini zote...
good morning,..nimekuwa na tatizo la kuwa mwembamba sana kiasi cha kunifanya nijione tofauti na wenzangu!...lakini katika research zangu za kukabiliana na hili tatizo nikapewa taarifa na mtu...
Wapendwa naomba kujuzwa madawa ya kulainisha nywele (relaxer) yasiyo na mercury. Maana mercury na hydroquinone ni hatari kwa afya zetu. nimesikia kuwa yapo lakini siyajui.
by Megan Wilde
1. The Real World: Mental Hospital EditionThis is the true story of three schizophrenics, who all believed they were Jesus Christ. It wasnt long before they stopped being polite...
Habari zenu wana Jf,
Nina tatizo la kuwashwa sana ukeni,kuvimba uke na kupata vijipele vidogo vidogo visivyouma, iwapo tu nitajamiiana kwa kutumia Kondomu,
Ila nikijamiiana bila kutumia Kondomu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.