jaman jaman hili tatizo la kuwa na alama nyeusi naamanisha kwapani, huku mikanda ya chupi inapopita mapajan na magotin na mikonon kuna mtu mwenye idea na dawa ya jambo hilinijuzen coz my frend ana...
You may have heard a family member or friend say that they'll die from a "broken heart," or that heartache from the loss of a loved one is too much for them to bear.
The truth is, severe stress...
Jamani wana ukumbi nina tatizo la kuwashwa mwili na ninajikuna sana hasa kwenye mapaja na sehemu za siri kwa juu. Tatizo hili ninalipata hasa saa za usiku. Nimepima damu, choo na mkojo na...
[*=center]
Madhara ya ugonjwa wa kaswende katika mfumo wa mishipa ya fahamu hutokea miaka 10-20 baada ya mtu kuugua ugonjwa wa kaswende na ambaye hakupata tiba yoyote hapo awali. Madhara haya...
Wana JF,
Nimeona kwenye Yahoo kuwa rangi za kucha zina sumu. Angalieni hapa:-
SAN FRANCISCO (AP)
Some nail polishes commonly found in California salons and advertised as free of a so-called...
PERTH, Australia
UTAFITI uliofanywa hivi karibuni na timu ya wataalamu wa Chuo Kikuu cha Murdoch mjini hapa, umebaini kuwa dawa kadhaa za asili za China zina sumu hatari kwa wanyama na binadamu...
Wana jf,
naamini kuwa binadamu huwa tunapenda kujiuliza maswali kulingana na mazingira na matukio.
Leo nilikutana mtu ambaya anaonekana kuwa na "ungojwa wa akili" basi nikajikuta najiuliza, ni kwa...
Leo tukiwa katika mazungumzo ya hapa na pale katika kituo changu cha kazi nimestuka kusikia kuwa lile ganda la Soya linaweza kusababisha kansa! Kwa kweli nimestuka sana manake watoto wangu...
Jamani nimempeleka hospital lakini wamesema hana kitu ila anachemka sana halafu anakuwa kama anaweweseka au kusisimka joto likipanda.kwa sasa anamalizia ant malaria (mseto)madokta nisaidieni ni...
Sodium is an element that is found in many foods as well as water. The body requires a small amount of sodium in the diet to control blood pressure and blood volume. However, most people consume...
Wadau, ni ipi inaweza kuwa dawa nzuri ya kutuliza maumivu makali ya jino kabla ya kuling'oa? Waswahili wanasema dawa ya jino ni kulitoa. Ikiwa unatafuta nafasi nzuri ya kulitoa, dawa ipi inafaa...
jamani naombeni msaada kwa wanao jua. Hv kuna baadhi ya dawa za makaria zaweza sabaisha miscariage, na kama zipo naomba mniweke wazi, alafu naomba suggestation ya dawa zinazofaa.
Mimi nina tatizo na uso wangu jamani,.yaani una mafuta kiasi kwamba napata chunusi na m nt looking gud 4 real,.hamna ht lotion inayonikubali cz nyingi zina mafuta,mpaka inafikia na2mia lotion za...
From a friend:
This is interesting!! I knew you need your minimum water to
Flush the toxins out of your body, but this was news to me.
Correct Time to Drink Water....Very Important
From A...
Hutokea pale vimelea (bakteria) wanapovamia kuta za ndani za moyo (endocardium), zikiwepo valve na kusababisha maambukizi.
Hakuna mishipa ya damu ambayo ni mahususi kwa ajili ya kupeleka damu...
Ni hali ambayo inakutokea ukiwa umelala,macho yanaweza yakawa yanaona ila ukijarib kuvuta mkono,mguu ama kujigeuza unashindwa hata ukipiga kelele haitoki,nilitaka kujua ki-sayansi point of view na...
Nimekua na tatizo la kupatwa na fungas eneo la mabega na mpaka maeneo ya kiuno,mgongoni inachukua sehemu kubwa ila mbele ni kidogo,sometimes zinaweka mabaka meusi bt nimetumia dawa sana bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.