Beauty Treatment During Pregnancy
It is a well-known fact that a pregnant woman's body undergoes many alterations, owing to hormonal changes. Are you pregnant, and have started noticing...
Urine therapy (also known as UT) is the use of urine for curative properties and it's something that has been used by many holistic practitioners to fight many health problems including candida...
Jamani nina swala lina nitatiza jidogo na sipati jibu,kama wengi tunavyojua kwamba mdudu mmbu haambukizi virusi vyiletavyo ukimwi(VVU) lakini ukiangalia mmbu anatunia the same principle kama ya...
Wana jukwaa!! Mama yangu mwenye umri wa miaka 58 anasumbuliwa na miguu. Inamuuma kuanzia ktk magoti hadi katika nyayo. Anaumwa nyama pamoja na mifupa ya miguu. Tatizo hili linaweza...
To your body, food is nothing more than potential energy. But to realize that potential, there are a number of complex processes that take place without you even noticing. Learn what happens to...
Feeling queasy in the stomach for some reason and you can't quite figure out the culprit? The reasons could be several, of course, and one of them could be the undercooked chicken in your plate...
Nilikuwa naomba kuuliza kwamba mtu akipata huu ugonjwa (RED EYES) kisha akatumia dawa na kupona kuna uwezekano akaupata tena endapo atakaa karibu na mgonjwa mwenye nao? Plz mwenye kufahamu naomba...
habari zenyu wataalam!
naomba kujua muda muafaka wa tendo la ndoa kwa mzazi aliyejifungua!
i mean, ni miezi mingapi ikipita tangu ajifungue anaruhusiwa...........?
Habari wan JF,miaka ya nyuma niliwahi kulala na binti mmoja ,na tulitumia kondom,ukitazam akwa muda ambao tulikutana nae kimwili ulikuwa mwezi wa pili,hapo hatukuonana tena,nikishangaa mwezi wa...
United States have found new cancer in human beings caused by Silver Nitron Oxide. Whenever you buy recharge cards, don't scratch with nails as it contains Silver Nitro Oxide coating and cause...
yaaap habari pipoz ebana me na ishu moko hivi inanizingua knoma ni huyu mpenzi wangu kila ninapo duuu naye huwa hata hapigi zile kelele lyk aaaa eeee iii oooo uuuu so afta gemu kuisha nikimuuliza...
Kwanini uume huwa mdogo na makorodini kuuma yaani kukiwa na baridi au ukiwa hali ya kawaida huwa mdogo kama cm 2 au 3 je tiba yake ni nini? Naomba ushauri wenu fj
Huwa ninapata maumivu makal sana wakat wa tendo la ndoa pale ninapotoa shahawa au hata ninapopata ndoto pevu(wet dreams) pia ninapata maumivu makal sana chini ya kitovu na wakat mwngne 2mbo hujaa...
Mimi ni kijana wa kipare, nina miaka 24. Tatizo nililonalo nikua sijatairiwa n naona aibu kwenda hospital kutahiri kwani ntachekwa na vijana wenzangu mtaani. Hii hali inanipa wakati mgumu kwani...
Katika kuangalia hasa jamii forum sijaona kipengele cha afya! Lakini kutokana na tatizo langu nikaona ni vyema kupost tatizo langu hapa ili npate msaada hata kwa muktasar tu.
Tatizo langu ni...
Kama kuna vitu nahisi vigumu sana kuwaeleza rafiki zako au wafanyakazi wenzio ni:-
1-Kunuka mdomo
2-Kunuka miguu
Kuna baadhi ya watu wananuka sana midomo yaani akija ofisini akikuinamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.