Hi wana JF, nina shida nikikaa kwa muda kidogo nikianza kutembea napata maumivu sehemu ya visigino, tatizo hili limeanza like 3 months ago, hii inaweza ikwa imesababishwa na nini? na nini tiba...
Je wajua kwamba sigara ina zaidi ya kemikali 400 zinazoweza sababisha saratani? Je wajua kuwa mvuta sigara ana uwezekano wa mara 15 zaidi ya kupata satani ya mapafu kuliko asiyevuta? Lakini Je...
Heloo wanajamvi.
mm ninamatatizo yakuwashwa sana masikio na koo.yaan najitahidi kuyasafisha ila yanawasha kupita kiasi mwenye kujua hili naomba anisaidie
habari wadau wa jf ebana me tatizo langu nikujisaidia mkojo wenye rangi ya njano yaani mpaka some tym inaniboa embu fanyeni kuni help bhasi kwa hili plzz ladies en gentlemen
Habari zenu wakuu?
Ana miaka 26 lakini toka azaliwe hajawahi kupata zile ndoto pevu(wet dreams)..
Hii ndio case niliyoombwa ushauri. Imeniwia vigumu kumjibu haraka. Je ni tatizo la kawaida...
Ninasumbuliwa na KISUKARI cha juu nina mwaka sasa.
Nimekuwa nashindwa kutengeneza hasa chakula ninachotakiwa kula lakini ninajitahidi sasa maana nimekuwa nachoma insulin mara kwa mara.
Je ni kweli...
Can Concussions Cause Early Death?This is a question that probably isnt thought a lot about. It wasnt until a short while ago that the NFL (National Football League) actually started doing...
Habari ya ss wapendwa napenda kuomba msaada juu ya hili kwa yyte anaye fahamu ni miezi mnne ss tangu wafi ajifungue but tangu kajifungu tumejaribu kufunga tumbo nimenunua mkanda lakini naona bado...
Habari wana jukwaa la Doctor, naombeni mnijuze mlio na ufahamu zaidi juu ya ugonjwa wa mkanda wa jeshi, dalili zake ni zipi, unsababishwa na nini na dawa yake ni nini?
Habari zenu wana jf. Nina tatizo la maumivu ya kiuno hasa nnapokua nafanya kazi inayonlazimu kuinama kwa zaidi ya dakika 15 baada ya hapo naskia maumivu ambayo yamaweza kuendelea kuuma mpaka...
jamani naomba nisaidiwe mie mke wangu anatoka madude meupe kama mayonaiz huko ukeni kiasi kwamba ukichomoa dude linatoka na hayo madude na yana kiharufu fulani hivi unpleasant. Je itakuwa ni...
naomba kuuliza,zamani nilikua naenda hadi bao sita ndani ya masaa manne lakini toka juzi nikifanya mapenzi naishia bao mbili,jana moja na tena nakua nimechoka sana.naoommbeni ushauri wenu tatizo...
Heshima mbele
Wana JF pasaka ilikuwa mbaya kwangu baada ya tarehe 6/4/12 kununua dawa ya kienyeji ya kutoa sumu mwilini iliyokuwa inauzwa na Wasabato na tarehe 8/4/12 kuinywa
baada ya kunywa...
msaada wenu madaktari naomba mnisaidie sababu zinayoweza kumfanya mtu akatoka povu na damu refer kanumba dearth cause sifikiri kama m2 akianguka tu inaweza kuwa sababu
Habarini za mihangaiko ya hapa na pale, Naombeni uchambuzi wa kina juu ya hili swala nitakalosema. mchumba wangu hupata siku zake( period/ MP) kila tarehe 16 au 17, na huchukua siku tatu...
nini husababisha maumivu sehemu za uume? ameshatembea hospitali nyingi na kupewa dawa ambazo mpaka sasa hazijamsaidia chochote na maumivu bado yapo! any specialist unayemjua atakayeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.