wakuu; ninashemeji yangu karibu amehama nyumba za kupanga zaidi ya nne kwa muda wa mwaka mmoja lakini nilipojaribu kuuliza ni kwa nini nikagundua kila alipokuwa anahamia alikuwa anakosana na...
ndugu zangu ninataka kusafisha meno yangu ili niwe na meno meupe. Mimi ninaishi jijini tanga, naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote anayefahamu kliniki nzuri wanayosafisha meno ambayo ipo tanga mjini.
researchers in Kenya are in the process of developing a male contraceptive pill that will be based on an immunology platform. A team of scientists from...
No. 1
Nina uzito wa kilo 93 ( 93 Kg) na urefu wa mita 1.7 ( 1.7 m ). J e uzito huu unaendana na urefu wangu. Kama hauendani natakiwa kuwa na uzito gani ili uendani na urefu wangu?
No. 2
Nitumie...
Hello experts, naombeni mchango wenu juu ya hili. Mara nyingi nikiwa na mawazo sana ama kuumizwa na jambo sana huwa napata maumivu makali chini ya ziwa upande wa kushoto.maumivu huwa kama kitu...
Too Much Sitting Can Kill You, Study Suggests
MONDAY, March 26 (HealthDay News) --
For better health, try standing up more, a new study suggests. Those who spend 11 or more hours a day...
Habari Great Thinkers?
Ninaulizia namna ya kuyatoa Macho Makengeza,Mdogo wangu anashindwa hata kumwangalia mtu usoni kwa muda mref,Umri wake ni miaka 18.
NISAIDIENI WANA JF
Jamani ee.. Hivi hili neno Alovera limekuwa kigezo cha makampuni ya bidhaa kupata fedha nyingi? Yaani mpaka naboreka sasa,
utakuta Dawa ya Meno,Mafuta ya kujipaka,Sabuni,Dawa za nywele,Vidonge...
Nina mdogo wangu mwenye umri wa miaka 16 ametokea uvimbe kwenye matiti,yani huo uvimbe unakuwa mgumu mgumu vile alafu ukimshika kwa nguvu unauma hii ni kwanini?
Wadau wapendwa wana Jf,
Naombeni msaada wa tatizo langu;ni miezi 5 sasa toka nifunge ndoa.Mwez huu mwanzoni limetokea tatizo ambalo nashindwa kulielewa hasa chanzo chake nini.Nimekua kila...
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Marekani cha Boston umesema unywaji wa chai vikombe viwili kwa siku huongeza uwezekano wa mwanamke kupata ujauzito. Katika utafiti uliohusisha wanawake 3,600...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.