.....someone die suddently by for example following a blow to the chest by a ball....(a table tennis ball).......or a following a fight.....Two days later, you receive the pathology report from...
Habar wana JF me nasumbuliwa na miwasho sehem za sr na nna vpele kama vchunus pemben ya uume.Tatzo la pl nna miaka 19 sasa lakn hata cku1 cjawah kutoa bao
There are great differeces,not only in the nature of man and woman, but also in their reproductive functions. In this sense,the man is simpler than a woman. He has only one thing to do to make a...
Habari wana jf doctor. Mdogo wangu wa kike mwenye miaka 19 ana tatizo la matiti kusinyaa na kulegea kana kwamba alishawahi kunyonyesa. Nimejaribu kumuuliza amesema tangu akiwa primary waliwahi...
Wanabodi hemima kwenu,mwanangu ana umri wa miaka mitatu.yaani dogo akilala anakoroma sana,wasi wasi wangu ni kwamba anaweza akaendele na ka habit haka mpaka ukubwani.napenda kuuliza je kuna namna...
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu sehemu ya kushoto kifuani na ubavuni...nimekwenda hospitalini mara kadhaa,nimepigwa x-ray kama mara tatu tatizo halijaonekana..badala yake nimekuwa nikipewa dawa...
Naombeni ushauri wa kitabibu wanajamvi.ndg yangu ni mjamzito ana wiki 34 sasa kwa mahesabu yake.lkn kipimo cha ultra sound kinaonesha ana wiki 37.sasa anashindwa aamini kipimo au hayo mahesabu...
Huwa inatokea na kuacha na kurudia tena unakuta kwamfano mkononi au mguuni kunakuwa na sehemu inadunda ka mapigo ya moyo na mara nyingine kwa force iliyozidi kwa muda flani inaweza kuwa mara moja...
Hivi karibuni, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeangaza vigezo na masharti mapya ya kujiunga na kozi mbalimbali za afya gazi ya cheti na stashahada. Kwa mujibu wa taarifa ya katibu mkuu wa...
Twashauliwa kunywa maji kwa kiasi kingi ila kwangu naona ni tatizo kwani kila ninywapo maji hata glass moja ni baada ya nusu saa au dk kadhaa natakiwa kwenda toilet na mara nyingine naenda toilet...
Msichana mmoja amekutwa Tumboni mwake na vijiko 2 vya chai,misumar ya bati na vyuma kadhaa vyenye uzito wa gram 6,amesema alikua anasikia maumivu sana tumboni,daktari alomfanyia upasuaji...
Wana JF. Nimekuwa na matatizo ya ngozi hasa wakt wa baridi na hasa wakt huu wa mvua. Nukioga naweza nisilale kabisa usiku kucha. Nimejaribu dawa nyingi sana sipati nafuu. Naomba wanajamvi msaada...
Babu Ambikile Mwaisapile akitayarisha vikombe
IDADI kubwa ya wagonjwa waliokwenda kutafuta tiba kwa Mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwaisapile...
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia jamani......
Nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa nimetumia madawa sana na nimefanya mpaka endo scope
pale Agakhan Hospital kujua tatizo ni nini lakini bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.