Ndugu wana JF natanguliza shukrani kubwa sana kwa jukwaa hili........ takribani kila siku kumekuwa na Thread humu jukwaani za matatizo ya nguvu za kiume, japo zinakuja katika picha tofauti, nami...
WanaJF mambo vp? Nimeshindwa kujielewa sijui hili ni tatizo au vp.Sijawahi tumia dawa ya aina yoyote ile ya kuongeza nguvu za kiume lakini cha kushangaza ninaweza piga mzigo mara saba kwa siku na...
Habari?
Nahitaji msaada mwenzenu hali sasa ni tete, maisha yanaenda kombo natamani niwe safarini kila siku. Tatizo ni kwamba I am one minute man. Iko hivi, mwenzenu goli moja hunichukua nwastani...
Hello jf
guys i need ushauri wenu, imekuwa almost 1 month doing mazoezi lakin still sijapata matokeo mazuri
WHAT I WANT TO BE:
SIX PACK ABS
kupata visible six pack abs. kwa anaejua...
Kifua Kikuu Kinarudi Kwa Kasi - Safari Hii Haitibiki!!!
Wadau, ugonjwa wa kifua kikuu kinarudi kwa kasi duniani. Huko London, Uingereza watu wanaambukizwa ile mbaya. Ile tiba ya kawaida ya...
Ugonjwa wa matende ni aina ya ugonjwa unaosababisha ngozi na tishu zilizo chini ya ngozi ya mwanadamu kuwa nene (thickening of skin and underlying tissue).Ugonjwa huu huathiri miguu, mikono...
Wana jamvi mimi binafsi napenda kutumia fursa hii KUMSHUKURU huyu Mzizi mkavu, kwa kweli amekuwa ni msaada sana kwa ss wana jamvi tulioleta matatizo yetu humu. Shukurani sana mkuu Mungu...
Kuna rafiki yangu amekuwa na matatizo ya kifamilia alitofautiana na mke wake, mwisho wa siku mkewe akawa anataka watengane jamaa akawa anajaribu kila hali kusuluhisha. Japo tatizo lenyewe halikuwa...
Mimi nna tatizo ambalo linaninyima raha sana! Tangu naimevunja ungo nimekuwa na tatizo la kutokuwa na mpangilio mzuri wa hedhi.
Kwani nnaweza nikapitisha miezi miwili hadi mitatu bila ya...
Matatizo na magonjwa ya kawaida
Katika sehemu hii, utajifunza kuhusu magonjwa na matatizo ya kawaida ya meno. Baadhi iya matatizo haya huenda yatakuathiri hata kama unatunza meno yako vizuri...
salaam wana jamvi,
hebu tujikumbushe takribani miaka mitano ivi nyuma, kulikuwa na kampeni kubwa naza nguvu sana za kupinga maambuziki mapya ya VVU,
katika kampeni izo ilikuwa ikitangazwa katika...
Matatizo ya akili husababisha tofauti jinsi mtu anavyo fikiria na kufanya mambo Fulani kulingana na uwezo wake wa kawaida.
Pata habari kuhusu jinsi chanzo na dalili.Angalia cha kutizama, jinsi ya...
Mwili wa mvutaji sigara
Kila sekunde nane, mtu mmoja hufariki kutokana na utumizi wa tumbako. Imebainika kuwa saba kati ya wavutaji sigara kumi, huanza uraibu huu wakiwa wangali watoto...
Habari, mimi nina tatizo la kunenepa kila nizaapo, nina watoto 3, na wote nimewazaa kwa operation, na mtoto akianza kunyonya nami naanza kunenepa, ila nikiwa na mimba nakonda sana kwa ajili ya...
Uso ni sehemu ya kuonyesha uhalisia kwa mwanamke na unapotaka kujua ni jinsi gani mwanadada au mwanamke anapenda urembo basi utamwangalia usoni.
Kwa mtazamo huo utaona yule mpenda urembo akiwa...
Mwili wako uliumbwa kwa ajili ya kufanya kazi (manual labour) kama vile kusukuma, kuvuta, kubeba, kutembea, kuruka, kuimba, kucheza, kusakata rhumba, kuinama, kuinuka, kukimbia, kukusanya, kupanda...
Wana JF naamini wengi wenu ni wasomi mnaweza kunisaidia tatizo langu la kiafya nadhani;
Mimi natafuna meno au kusaga meno nikilala usiku, tabia hii ina miaka kama 4 hivi na nilidhani ingeisha...
habarini madoctors na wana jf wenzangu, naombeni msaada, mke wangu ni mjamzito wiki 24 sawa na miezi 6, toka mimba itunge alikua anapata maumivu makali sn ya kiuno, maumivu yakaendelea kupungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.