Jamani nimekuwa naota Fangasi juu ya unyayo,vinaota vipele vidogo vinakuwa kama na maji ndani na baada
ya muda zinapasuka na kusambaa kwenye mguu.Nimejaribu kila aina ya dawa ya kupaka hata kuvaa...
Cervical cancer is malignant cancer of the cervix uteri or cervical area. It may present with vaginal bleeding but symptoms may be absent until the cancer is in its advanced stages. Treatment...
nimezaa watoto idadi ninayoihitaji nataka kufunga kizazi lakini kuna watu wananipa hofu kwamba nikifunga kizazi kuna madhara mojawapo ni kuwa baridi au kukosa hamu ya tendo la ndoa.Je ni kweli?
sasa yapata wiki mbili sasa kuna vijipele vimenitoka karibu na sehemu za mapumbu,nimeenda hospitali nimepima hawajakuta tatizo lolote,wameeniambia kuwa inawezekana sababu naavaa nguo nyingi sana...
habari nduguz,
nna tatizo moja ambalo huwa haliishi kwa mda mrefu sasa
mara nyingi ulimi wangu unakua kama unakatika yaani kuonyesha alama kama za mikatiko
naomba kujua ni ugonjwa wa aina...
Kwa wana jf wenye ufahamu wa tatizo hili naomba ushauri wenu.
Kuna mtoto wa umri wa miaka 10,ana tatizo la ADENOIDS.Amekwisha wahi kufanyiwa upasuaji takribani mara 5 kwa kipindi cha miaka 5...
nina rafiki yangu ambaye alikuwa hajapata hedhi for two months akafanya vipimo vya pregnacy both urine and ultra sound hakuonekana na tatizo sasa ijumaa iiyopita akapata hedhi meanz she start...
Wanasayansi nchini Marekani wako mbioni kutengeneza korodani bandia (artificial testicle) zitakazokuwa zikitengeneza shahawa ili kusaidia wanaume wenye matatizo ya uzazi.
Timu ya wanasayansi...
Mtoto Saul amekumbwa na ugonjwa wa ajabu wa kusinzia na kutikisa kichwa. Mama yake anasema Saul hupatwa na degedege linaloweza kumchukua muda wa hadi si chini ya saa tatu kupata nafuu na kila...
Neno syndrome humaanisha mkusanyiko wa dalili au magonjwa kadhaa ili kufanya ugonjwa mmoja.
Ugonjwa wa Nephrotic syndrome ni hali ya maradhi inayokumba figo na kusababisha kupoteza kiasi kingi cha...
>Usisikilize simu kwa sikio la upande wa kulia.>Usinywe dawa kwa maji ya baridi.>Muda mzuri wa kulala ni baina ya saa nne hadi saa kumi usiku.>Usile mlo mwingi baada ya saa kumi na moja...
Jamani ninaumwa meno si mchezo. Ni hospitali gani ina huduma uhakika ya meno hapa Dar? Siwezi kuvumilia lazima
kesho niende. Tafadhalini nisaidieni !!!!
Kuna mtu amenunua 7 Miracles Lemons Antiseptic Soap. Anataka kutumia naomba kina mama wazoefu kama inasaidia kutoa madoa usoni kama jamaa wanavyoeleza. Imetoka Lusaka, Zambia.
Habari..
Wanajamvi je kuna mtu yoyote unayemfahamu anatatizo au alikuwa na tatizo la Chronic Myeloid Leukemia?
Naomba uwasiliane na mimi kwa email:shekywasheky@hotmail.com
Naomba kujua details za tatizo la figo.
Matibabu yake yapoje(dawa na fedha)??
Ni kweli figo haitibiki ?matter of replacement??yaani uwe na mtu ambaye damu zenu ni group moja itolewe yake then...
Food of the futureBy Jo Romero | Food Glorious Food Mon, Mar 19, 2012 16:11 GMT
Email
Print
Food that never goes off, artificial meat grown in a lab and food pills: could this be the...
​Wagonjwa wa Ukimwi huathiriwa sana na ugonjwa wa figo. Ugonjwa wa figo unaohusiana na Ukimwi (HIV-Associated Nephropathy au kwa kifupi HIVAN) unaweza kusababishwa na mashambulizi ya moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.