By Brenda Goodman, MA
WebMD Health News
Reviewed by Laura J. Martin, MD
March 26, 2012 -- People who are trying to lose weightmay not need to bar chocolate from their diets.A new...
Wakuu nilianza mazoezi ya viungo mwaka jana mwezi wa sita nahitaji mahali yaani eneo ambalo wanauza vifaa kama vya kuongeza nguvu,nikiwa na maana ya VYUMA VIZITO.Mimi nipo bagamoyo,naomba...
wakuu!!!
Ninaomba kama unamjua mtu yoyote ambaye unamfahamu anaumwa/aliwai kuugua Chronic Myeloid Leukemia (CML) anitafute kwa email:shekywasheky@hotmail.com au uni PM humu kwenye JF
Dhumuni ni...
146 Reasons Why Sugar Is Ruining Your Health
1. Sugar can suppress the immune system.
2. Sugar upsets the mineral relationships in the body.
3. Sugar can cause hyperactivity, anxiety...
Nimetumiwa maelezo yaliyopo chini ambayo ningependa kugawana nanyi kwa wale wenye kuamini tiba ya mitishamba. Huu mmea unaitwa Aloe saponaria (Soap aloe), ambao licha ya kuwa unafanyakazi zile...
I know Im not alone in often forgetting names of close friends, or recalling the name of the book that I recently read, or heck, that Imcurrently reading. Occasional memory lapses are a normal...
hello jf
i am wondering if any doctors on the forum know if it is possible for foreigners to enrol in tz universities to study medicine. how much does it cost?
Huwa napata maumivu kwenye vidole mikononi na miguuni na wakati mwingine vinakuwa na joto kali sana, Na hii huwa inatokea nikikaribia bleed. Naomba ushauri wenu au ni matibabu gani nipate
CDC: Imported Fish, Peppers Most Common Culprits
March 14, 2012 -- Foodborne disease from imported foods is on the rise, with more foods from more countries causing more outbreaks, the CDC...
Zamani ilikuwa ni kawaida kuona wanawake wanatoboa masikio, pua, ili kuvaa aina mbalimbali za herini na shemeri. Siku hizi si ajabu kuona wanaume na wanawake wakijitoboa au kuchorwa alama...
Heshima kwenu wana JF. Kuna hili tatizo la red eyes ambao kwa hapa dsm almost palipo saba mmoja au wawili wanasumbuli.wa na red eyes ila mimi sijajua unatokeaje na unasambaa vipi natumai...
Ni kawaida kwa watoto kulia. Hata watoto wanaozaliwa na afya njema kabisa wanaweza kulia kwa jumla ya wastani wa kati ya saa moja mpaka matatu kwa siku. Kwa vile watoto hawawezi kujifanyia...
jirani yangu ana mtoto wa miaka miwili wakati anamuogesha mtoto alilia kwa maumivu na alipomcheki aligundua kuna kauwazi ktk sehemu zake za siri haelewi nini kimetokea kwa mwanawe.yaweza kuwa ni...
Kwa kitaalamu fistula hujulikana kama njia isiyo ya kawaida inayounganisha mfuko wa mkojo na uke, ambayo huruhusu mkojo na/au haja kubwa kutoka bila kujizuia kwenye kuta za uke.
Nini hutokea...
Tatizo la kiakili la kujihisi mnene na kupoteza hamu ya kula au Anorexia nervosa ni tatizo linawaathiri watu wengi na kuwafanya kupoteza uzito zaidi ya ule unaokubalika kulingana na umri na urefu...
Kuna kijana ameniomba ushauri lakini nimekwama kwani sio mjuzi sana, ana miaka23 lakini cha kupendeza hajawahi kuingiliana na mwanamke! Siku za karibuni uume wake umekuwa ukisimama kwa muda mrefu...
Watafiti wa magonjwa wanadai kuwa msongo mkali wa mawazo wakati wa ujauzito unaweza kusababisha hitilafu katika uumbaji wa mtoto na hatimaye mtoto kuzaliwa akiwa mlemavu.
Ripoti ya watafiti hao...
Heshima kwenu vyote wana JF. Naomba madokta na wote wenye kufahamu juu ya ugonjwa tajwa hapo juu,pia dalili zake. Maana nimeona kwenye tv ama kwahakika watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.