Habari dearest jf doctorz! Shost angu kipenz kajifungua jana mtoto wa kiume ila ilikuwa shughuli,mtoto mkubwa na njia ndogo! Na ujauzito wake ulikuwa miez kumi na kama wiki naa,iv!
Na ad sasa...
nina kidole cha mkono wa kushoto kimevimba na kinauma sana...nakumbuka sijakigonga sehem yeyote..inawezakua ni nini?au ni bacterial infection?naomba mchango wenu madokta nitumie dawa gani
Margarine was originally manufactured to fatten turkeys. When it killed the turkeys, the people who had put all the money into the research wanted a payback so they put their heads together to...
HABARI WAKUU. HUWA NAFANYA MAPENZI KAVU KAVU NA MPENZI WANGU (tumepima).
KINACHOTOKEA NI KWAMBA HUWA NAENDA UMBALI MREFU NA SPEED KUBWA MPAKA HUWA NAPATA MCHUBUKO SEHEMU YA PEMBENI YA SHINA LA...
With the profile of HIV-AIDS undergoing transformation from a life-threatening emergency to a manageable chronic infection, the World Health Organisation (WHO) urged South-East Asian countries to...
Kuna ugonjwa flani wa macho nimeupata.Sijui unaitwaje lakin ni kwamba macho yanauma sana na yamekuwa mekundu pia yamevimba.Cha ajabu baada ya siku 2 na rafik yangu nae kaupata.Tulipowauliza watu...
Hapa chuoni kwa takriban wiki mbili sasa wanachuo wengi wanasumbuliwa na macho, ukienda kituo cha afya hapa udsm kila mwanachuo anasumbuliwa na macho!lakini Niimani yangu Hapa Jamii forum ndo...
Wanajf wenzangu poleni na majukumu ya hapa na pale..............Ni hivi kwa yeyote anayefahamu faida za matango(pori na ya kisasa) na malimao katika miili yetu sisi wanadamu..Msaada tafadhali...
Jaman wanajamv naomba kuulza et mwanaume asipofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna madhara yoyote anayoweza kuyapata maana kuna watu wanadai et anaweza kupoteza nguvu za kiume au zikapungua?
ni muda mfupi tu tuko kwenye ndoa na huwa tunashirikiana tendo effectivelly! juzi mke wangu aliona matone machache ya damu mithiri ya hedhi lakini muda wa hedhi ulishapita na alipata hedhi. Pia...
Najamani naomba kujuzwa kama kuna madhara yoyote mwilini kwa kutumia body spray perfumes na deodorant. Kuna nyingine ukijipulizia mwilini unahisi kama mwili unawaka moto.
Wakuu naomba kujuzwa kama kutumia body spray perfumes na deodorant kuna madhara mwilini. Maana kuna nyingine ukijipulizia mwilini, unajisi kama mwili unawaka moto.
Hii ni habari njema kwa watu wanaoishi na VVU na jamii kwa ujumla:
Matokeo ya tafiti mbalimbali zilizofanyika Afrika na sehemu zingine duniani zimethibitisha kuwa kuna uwezekano wa zaidi ya...
Habari.naomben ushaur wenu.dada yangu anasumbuliwa na matiti yaan yamekuwa na makubwa na yanatoka maziwa kabisa ila sio mengi sana.tatizo ni kwamba amepiwa ujauzito mara 4 ktk hospital tofauti lkn...
Wandugu kupitia jukwaa hili naomba kuuliza kama hii hali inayojitokeza kwangu ni tatizo au la.. Mm ni mwanamme umr miaka 31 ni kwamba nimekua na takriban miez miwil na zaid bila kua na hamu hata...
More than one billion are at risk of contracting the debilitating and disfiguring ailment, elephantiasis. Infection is rampant in parts of Africa and Asia, but as Rachel Smalley reports for VOA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.