Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

eti ni salama (for hydration) kama umekosa maji ukiwa porini. Hivyo ndivyo anashauri Bear Gryll wa Discovery Channel: Bear Grylls drinks his own urine (Kimberlies, Australia) - YouTube Je, hao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Circumcision linked to lower risk of prostate cancer May reduce the risk of infections contributing to the disease Tue 13 Mar, 2012 10:00 am GMT...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Ndg zangu, ni muda sasa nasumbuliwa na tumbo, nimekwenda kwenye vituo vya afya na hospitali pia, kote huko naambiwa nipeleke mavi (choo) wakapime. Kila nikifanya hicho kipimo naambiwa hawajaona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Matokeo ya utafiti uliofanywa nchini Marekani na maabara ya Centre for Science in the Public Interest (CSPI) yanaonesha moja ya viungo vinavyotumika kutengenezea Coca-cola na Pepsi kiitwacho...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Katika miezi ya karibuni nimekuwa nina tatizo la kukoroma sana na kwa sauti kubwa mpaka kero kwa majirani. situmii kilevi chochote vilevile uzito wangu ni wa kawaida!je tatizo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
[ Dawa ya jino kung'oa tuu.]The Relationship Between Root Canals and Cancer The Relationship Between Root Canals and Cancer When a person in the United States has a...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna ndgu yang nna lala nae yana ndan yake kunamingurumo mikubwa mfano wa kubeua lakn habeui yan waweza kaa nae likaanza bonge la mngurumo af anajpgapga kfuan iv matatzo/tatzo laweza kuwa nn mr...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nina tatizo la kupata usingizi kupita kiasi.Nikiwa hata kwenye foleni najishtukia nimesinzia kwenye usukani.Nikifika nyumbani ni kulala tu.Nisaidieni tafadhali!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tangentiality: hapa mtu unaweza kumuuliza swali ye akajibu kitu tofauti, au kinachohusiana kwa mbali sana Circumstantiality:hapa mtu anachukua mda mrefu kuliko kawaida katika kujieleza au...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habar gan wana jf? Nina gf wangu ambaye npo naye foq 1yr na kuhsu mapenzi anadai mpaka amalze ckul koz akianza watamgundua zaid ya hapo anadai wanapopelekwa kupima manesi huwa wanamsifia kwa...
0 Reactions
36 Replies
13K Views
WANAWAKE WAFURIKA KUPATA HUDUMA Na Julieth Kulangwa BIASHARA huria imezua mengi. Hali kadhalika Sayansi na Tekenolojia nayo, imeleta mengi. Katika kuwaondolea kero wanawake wenye matiti...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari za asbh DR.mimi ni Mrs,ni mwaka wa nne sina mtoto na tumejaribu kwenda hsp mbalilmbali na majibu tuliyopewa ni kwamba: mimi nipo sawa kabisa ila mwenzangu no Spermatozoa seen ila checkup...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hi Hivi ni kwanini wanawake wengi wa Kibongo wanapenda kupigwa bao nyingi katika mambo ya sita kwa sita? Wenzetu wazungu wanapenda goli chache labda mbili but ziwe za uhakika je Vyakula...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Manjano Inasaidia Sana Kwa Uwezo wake Mwenyeezi Mungu. Matumizi yake Manjano. 1 Ukijikata Kwa Kisu au Jiwe au Jiti Chukuwa Manjano Kavu Saga Kwenye Jiwe Pamoja Na Chumvi Pakaa Itasimama Kutoka...
0 Reactions
4 Replies
23K Views
Heshima mbele madaktari wote! Naomba mwongozo wenu watblam wa afya ya uzazi wa kina mama. Usiku huu mamsapu yuko mp. Tatizo damu inatoka kama mkojo na anajisikia maumivu makali sana tumboni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
chama hiki kimeibuka kama mtetezi thabiti wa haki za madaktari ni vyema basi kwa yule anayekifahamu kwa undani atujuze! baada ya kugoogle search nimeibuka na taarifa kidogo kuhusu MAT MAT is...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani kuna mtu anaemfahamu dentist mwenye uzoefu hapa Dar,ambaye anaweza kupatikana hata weekend hii,jino limeniharibia weekend naomba msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajf wenzangu, hongereni na majukumu ya hapa na pale.....Mwenzenu nina tatizo la kukojoa sana wakati wa ucku, si chini ya mara nne kwa usiku mmoja, na tatizo lina mwezi sasa..Cha ajabu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kitu cha ajabu lakini ndiyo hivyo nimekiona juzi ambapo nilikuwa safarini kijijini na kwa sababu ya uhaba wa sehemu ya kulala nililala rafikiya ngu wa kiume ambaye nilikuwa nae. usiku ulipofika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi si mvutaji rasmi waa sigara ila kila mara ninapojaribu kuvuta nilikuwa nabanwa na haja kubwa baada ya dakika chache,je kuna uhusiano wowote katti ya uvutaji sigara na kukata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom