nimeituma hii habari jukwaa hili walau wengi mpate kuona najua jukwaa la JF doctors wengi hawapiti pale.Tafadhali moods iacheni hapa wengi waisome walau kwa leo kuokoa maisha.kama ishapostiwa basi...
sina uhakika na hali inayoendelea mwilini mwangu, mzunguko wangu huwa ni siku 28, mwezi wa pili niliona siku zangu tar 11 then nikakutana na mume wangu kati ya tar 23-26, sasa tar 4 ghafla...
Napenda kujua na kuwasilisha mada juu ya "mtu kuwashwa mda mfupi tu baada ya kuoga",hii ni nini hasa, watu gani huwapata, nini husababisha na tiba yake nini.
Habari wanajf wenzangu, hongereni na majukumu ya hapa na pale.....Mwenzenu nina tatizo la kukojoa sana wakati wa ucku, si chini ya mara nne kwa usiku mmoja, na tatizo lina mwezi sasa..Cha ajabu...
Tumekuwa tukitumia vitunguu kwa muda mrefu kwenye jamii zetu. Na vitunguu vinavyotumika ni vya mviringo yaani vitunguu maji. Na ndio vitunguu vinavyofahamika au kutambulika kama Bulb of Allium...
Jamani, jana nilisikiliza TUAMBIE TBC, alikuwepo KASESERA na MZINDAKAYA. Hoja zao waote walisisitiza madakatari wawe na HURUMA kwa watanzania, warudi kwenye round table discussion. Kuna mchangiaji...
I went for blood test and here are my results
1.Estradiol -55.83pg/ml
2.FSH -11.69 miu/ML
3.LH - 5.79 MIU/ML
4. Progesterone-0.89NG/ML
5. Prolactin - 17.18 NG/ml
6. Testesterone -7.54 NG/ML...
Wana JF, tangu mwaaka jana ninasumbuliwa sana na maumivu ya magoti. Madaktari ambao nimewaona wameshindwa kunipa ufumbuzi. Maumivu huwa yananinza Mara ninapocheza mpira Mara kwa Mara. Maumivu...
mm nina boyfriend wangu nampenda sana ila kila tukikutana kimwili hua bada ya siku ile kupita kesho yake nitaamka kiuno kinauma na mgongo na tumbo chini ya kitovu kama tumbo la hedhi vile na hua...
Eh bwana ndugu daktari sipati choo kabisa yani leo nna siku ya tano na nakula ni balaa,ila sasa najamba sana,yani nikiachia kijambo apa mpaka nyumba ya pile, waliniambia nile matunda, munda nakula...
7 tips to Control your Hunger
Our fitness trainers try to force us on a diet; our doctors warn us to control our food intake thanks to our high cholesterol levels; our wives and girlfriends...
Local HIV/Aids researchers and the medical fraternity have dismissed the findings of a new research that questions the effectiveness of male circumcision in curtailing the spread of HIV virus...
Natokwa na jasho jingi sana kwapani kupita kiasi nyakati zote za joto na baridi. nalazimika kubadili mashati hadi mara tatu kwa siku na wakati mwingine navaa koti au sweta kuficha hali hiyo. Kwa...
Four of the seven infected people had consumed sun-dried tomatoes
UK health experts believe sun-dried tomatoes could be the cause of a recent outbreak of hepatitis A.
The Health Protection Agency...
Smear tests 'boost cure chances'
The human papilloma virus can cause cervical cancer
Women diagnosed with cervical cancer as a result of a smear test have a far better chance of being cured than...
Kwa ignorants husema wamekabwa wengine husema ni jinamizi,sasa mimi naweza stuka ucku hata mara 7 ninakuwa kama nataka amka ila siwezi ukomand mwili.msaada plz
Vitamin E 'may be bad for bones'
Almonds are a dietary source of vitamin E
Vitamin E supplements may interfere with the process that keeps bones healthy, suggest Japanese scientists.
Writing in...
Maggot tiba ya mdudu 'unbeatable'
Funza anaweza kuwa jibu juu ya maambukizi ya Dawa sugu.
Funza anaweza kuwa jibu kwa maambukizi ya dawa sugu, wanasema madaktari.Wamegundua kwamba funza kuwa...
Baba wa mtoto aliyekulia nje ya tumbo la uzazi la mama yake kwa miezi tisa akiwa na mwanae.
Hospitali ya Mikocheni ya jijini Dar es Salaam imemruhusu baba mzazi wa mtoto aliyekulia nje ya tumbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.