Hili ni tatizo gani jamani wana JF?kupata maumivu makali wakati wa kwenda haja ndogo na baada ya kumaliza,wakati mwingine najisikia kwenda haja ndogo lakini naambulia maumivu makali tu.
Hasira ni sehemu ya hisia za mwanadamu, lakini hazitakiwi kuzidi kupita kiasi
Hisia zipo za aina tofauti tofauti, mojawapo ya hisia hizo ni hasira. Lakini ni vema kujitambua na kuitawala hasira...
Dawa Aina ya Misoprostol Yaweza Kuwa Mkombozi wa Wanawake Wajawazito Susan Anyangu-Amu
Precious Nabwire alikaribia kufariki dunia kutokana na kujifungua mtoto wake wa nne. Kama wataalam wa...
Nanuku...hymen(utando) yaani membrane nyembamba sana hufunika vagina,kwa mwanamke bikra ambaye hajui mwanamume uonekana tundu dogo tu,lakini akilala na mwanaume hymen hiyo hupasuka
na akizaa...
Hello wadau? mimi ni kijana wa kiume miaka 34 na ni mpenzi wa vinywaji vikali ,,sasa tatizo langu napenda sana kulala kifudifudi. Naomba ushauri je sijiweki hatarini kwa afya yangu kwa kulala...
Habar wadau?mwenzenu nilikutana na binti mmoja tukapendana baadae tukaanza kusex kwa kutumia kinga. baada ya siku mbili baada ya kusex vipele vikaniota kwenye mavuzi kama vipele vya kunyoa ila...
IMANI POTOFU KUHUSU AFYA YA KINYWA NA MENO
Imeandikwa Na: Dr. Augustine Rukoma
Tunashukuru kwa mtandao kwani habari zinasambaa haraka kama mwanga. Hata hivyo, uvumi, imani potofu vinasambaa kwa...
Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza hata...
Za leo wa ndungu;
Nimekuwa nikikojoa mkojo naunapo karibia kuishia naumwa sana ukeni? Then baada ya ya kupangusa naona vijidamu kidogo kwenye tissue. Najisikia vibaridi jioni nakukosa hamu ya...
wana JF tangu ni duu na mpenzi wangu analalamika anasikia muwasho ukeni, hata jana nimeduu nae lakini bado analalamika muwasho na anadai sometimes unaongezeka na sometimes unapungua. huu waweza...
wana JF tangu ni duu na mpenzi wangu analalamika nasikia muwasho ukeni, hata jana nimeduu nae lakini bado analalamika muwasho na anadai sometimes unaongezeka na sometimes unapungua. huu ni yaweza...
Kuna kauli huwa naisikia mtaani eti mtoto wa fulan kabemendwa.ETI HII HALI IPO AU NA INAKUAJE kama ipo? Sana sana husema pale mtoto anakuwa na hali ya kudhoofika wakimanisha mama na baba yake...
aisee wadau naomba ushaur nimekula mayai nais ya kichina mdomo lips ya juu unazid kuvimba mda had mda mwenye kujua dawa ya hili tatizo naomba anijuze maana hali inakuwa mbya nisaidien
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.