Faida ya kujitibu kutokana na kitunguumaji
tiba inayopatikana katika Kitunguumaji
Kitunguumaji ni aina ya mboga ya yungiyungi. Ni mboga yenye harufu kali inayochangamsha. Anaeikitumia kitunguu...
napata hedhi almost mara 3 kwa mwaka na ikitoka inatoka nying sana kias kwamba pakt moja ya ped naitumia cku moja! halaf ndo kwanza am 21yrs nisaidien jaman
Wapendwa, l don't like my nose, l think it too big n a little crooked and l hate it! I love the rest of my body! Je naweza kufanyiwa rhinoplasty hapa nchini au East Africa? Na gharama yake ikoje...
wakuu naombeni msaada wenu,naogopa sana sana kupima kama nina virusi vya ukimwi,kusema kweli nilikopita na wanawake niliochukua ndio hasa kumbukumbu inanifanya nifikie hatua hiyo
mungu anisaidie...
Wadau hivi imewahi kukutokea labda ukapatwa kipele cha kwenye midomo au kijipu chini ya mapaja...?
kama wewe iliwahi kukutokea hali kama hiyo na una patina wako (mme, mke au mpenzi ..!!) je...
Wadau naomba kufahamu kama utafunaji wa jojo, wenyewe siku hizi mnaita chewgum au big g kuna madhara gani kiafya, kwani mimi mda ambao mdomoni haipo ni wakati nakula chakula tu.! Help please.
Wanajamvi wenzangu eehe,hivi kuna ukweli katika hili?Huku kwetu na sehemu nyingine za Tanzagiza kuna tetesi zilizozagaa kuwa chainizi(mboga za majani) si nzuri kwa afya katika upande wa...
jamani naomba wataalamu mnisaidie Na mtoto ana Miaka 3 hajajua ongea je kuna hatari ya yeye kuwa Bubu na je kilema cha ububu ni cha kurisi? Au genetics transimision?
Leon Bahati
WATAALAMU wa afya wa kimataifa wamesema yapo matumaini ya kupata tiba na chanjo ya Ukimwi ya uhakika miaka michache ijayo.Walisema hayo kwenye mkutano wa 18 wa Kimataifa wa Kujadili...
Hi JF
nina mke na kila siku kwa mke wangu napata mshindo mmoja (napiga bao moja)
katika hali hiyo naweza kufanya mazoezi ya viungo kama kukimbia, kunyanyua chuma na nk
Fredy Azzah
TAASISI ya kimataifa imesema Watanzania wengi wako kwenye hatari ya kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) kutokana na kuongezewa damu isiyopimwa kufuatia ukosefu wa vifaa vya kupima...
Nimekuwa nikisikia kwamba uzito wa mtoto ambaye bado hajazaliwa unaweza julikana kwa kutumia vipimo maalumu. Ninachojiuliza ni concept behind ya hivi vipimo ni ipi mpaka uzito wa mtoto alie...
Nimekuwa nikiumwa tumbo sana sielewi tatizo ninini.Nimetumia tiba mbalimbali kama dawa za minyoo na za typhoid lakini sijapona hapa mwananyamala naona wananisumbua au wanabahatisha tu.Nimekuwa...
UTAFITI wa hivi karibuni unaonyesha kwamba mbu wana akili zaidi kuliko viongozi wa binadamu waliopo duniani hivi leo baada ya mbu hao kujibu mapigo ya chandarua kinachotiwa dawa kwa kujigeuza...
Source: Yahoo friends
I really don't know if here is the right platfom, read through anyway. Maybe to a doctor? WE do not have a section for HEALTH issues I suppose.
http://xqno.com/binb...
Ayurveda is no longer just a traditional medical system. It has grown in scope and potential and has been established itself as a profitable commodity in the international market.You may frown at...