Hola amigos! Naombeni ufafanuzi jf doctors kati ya kunywa pombe na kukosa ucngizi uciku....this thing disturbs me a lot i.e jana nilikunywa bia tatu nikalala saa nne but kufika saa nane ckupata...
Ndugu zangu wana JF leo nililazimika kuja ara moja Dar kuja kumuona Mlezi wangu ambaye ni mjomba yangu anaumwa sana jamani kule alipopata vipimo aliambiwa anatatizo la Inni sasa huku kila siku ni...
When is a good time for you to quit smoking? Would that be sometime before doctors drill a hole in your throat so you can breathe? A week before it happens? A month? A year?
HABARI Wandugu,
kuna rafiki yangu ni mpenzi wa pombe (whysky) ingawa huwa hanywi reguraly. ila anasema akinywa whysky(konyagi, valuer,grants nk) anahisi tumaumivu kama vichomi hivi upande wa...
Matatizo ya kiafya katika kibofu cha mkojo yamekuwa mengi hivi sasa, hasa kwa wanaume wenye umri kuanzia miaka 50. Kazi kubwa ya kibofu ni kusaidia ukuaji wa mbegu za kiume, kama kibofu kikiwa na...
Wanajf,naombeni ufafanuzi....Hivi ni kwanini mawanamke huwa anapitiliza siku zake za hedhi? Kuna rafiki yangu mmoja mpenzi wake yamemkuta hayo,leo ni siku ya nne tangu ile tarehe yake aliyoizoea...
Habari memberz! Jamani naomba kuuliza sababu gani inapelekea msichana kuwa na hasira wakati wa period?(kwa baadhi) mimi inanitokea sana,tena hasira inakuwa kwa watu wote na zaidi kwa...
Dear JF Members,
Greetings to you all.
To all those fat dudes and ladies, I have wonderful news for you all. I came across this very useful article on the internet with regards to weight loss...
kama kuna mtu au tabibu yeyote hasa wa miti shamba anaejua namna ya kunisaidia kujisikia utamu wakati wa ku do,naomba anisaidie dawa make huwa naona kero badala ya kuenjoy,kiufupi nasumbuliwa na...
Habar wana jf.
Kuna njia nyingi ninazozifahamu.za kuzuia mimba ambazo ni salama na nyingine zina muudhi muumba.
Ktk zote nimeamua kuifuata ile ya kuvizia tarehe,ambayo ndo naamini iko poa...
Daktari mkuu wa mkoa wa arusha asubuhii hii amethibitisha kuwa dawa ya babu huyo inasemekana kuponya magonjwa sugu ni utata mtupu kwani hakuna mgonjwa ambaye mpaka sasa amethibitika kupona. Dr...
Wana JF.
Naombeni nifahamishwe kwa mwenye ufahamu wa masuala ya uzazi hivi kwa mwanaume kujamiana sana kuna uhusiano wowote na kushindwa kumpa mimba mwanamke!
Na Kumpa mwanamke mimba wakati ana...
Nimekuwa nikicheka sana ninaposikia matangazo ya ulevi noma. Wao wanaonyesha madhara ya pombe katika kumuumbua mtu lakini naomba niongezee kidogo. Katika somasoma yangu ya udaktari, nimeona katika...
Mtoto wa ndugu yangu ana miaka 12 yuko darasa la 4 amerudia darasa mara kadhaa ila mpaka sasa hawezi kuandika wala kuhesabu. Mfano hawezi kutofautisha pesa za sarafu. Ila sio taahira, ni nadhifu...
nafahamu kua miili ye2 ni kama injini za gari mara nyingine checkup ni muhimu,na mambo mengine huwa yanahitaji ushauri na wakati mwingine huwa mazoezi ndio tiba muhimu,sasa kwa sisi wenzangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.