At least 78 per cent of people who have drunk a herbal concoction from former pastor Ambilikile Mwasapile claim they have been cured of diseases they were suffering from, a Synovate Tanzania...
salaam jf
Leo nimeamua na mimi kupost hapa kuhusu tatizo la kukosa mwenza mpenzi kwa muda mrefu. Well, nina miaka 26 sasa, niko chuo kikuu mwaka wa 3 nasoma computer engineering. Katika maisha...
HABARI ZA JPILI WAKUU,
ETI IS IT POSSIBLE KWA MWANAMKE MWENYE MZUNGUKO WA HEDHI WA SIKU 28/29 KUPATA MIMBA IWAPO ATAFANYA MAPENZI SIKU YA 23?
naombeni msaada wenu wa kitaalamu na wa kimawazo pia...
Nina tatizo ambalo lina muda mrefu takribani miaka 32 sasa. Nakumbuka hili tatizo lilinianza wakati nipo primary school. Siku moja wakati nipo home nafanya home work,ghafla nilijisikia baridi kali...
habari
nataka kujua huu ugonjwa wa utando mweupe dalili zake unapatikanaje na matibabu yake
source:
mwanamke anatokwa na utando or ute mweupe kwenye uke afu unawasha na baada ya siku kadhaa...
Habari zenu wakuu?
Naombeni msaada wenu mnijulishe na/ au kunipatia contacts za vyuo vinavyotoa elimu ya certificates katika masuala ya madawa ya binadamu - hasa vile vinavyotambulika na...
Wadau hivi mpenzi wako ameanza blid j4 na kumaliza alhamisi.
Je ukilalanae bila kondom siku ya j1 kuamkia j2 kuna uwezekano wa mimba kushika? Help plz.
Wakuu Salaam, naomba ushauri:
Hivi hapo kama ndoa ni ya kikristo i.e mme 1 na mke 1 na kwa bahati mbaya husband hana hivi kuna njia salama ya kuendelea kujamiiana au ndio mzee inabidi ubadilike...
Samahani wajumbe nahitaji kujua kuhusiana na hili nilikuwa katika mjumuiko wa watu tukiwa tumeketi na kutulia kimya tukisikiliza matangazo ghafla kuna mtu alikuwa jirani yangu aligeuza shingo na...
wanajamii wenzangu naombeni msaada wenu katika hili, kuna ndugu yangu wa kiume hii ni mara ya nne mfululizo anapata wet dreams, so anaogopa sana kwa sababu haijawahi kumtokea kabisa. kaniomba...
Habari zenu JF Doctors.
Naitwa Ruth,
Ninafurahi coz nadhani nina ujauzito, nilipima jana kutumia zile home pregnant test, ikaonyesha positive.
Naomba mnisaidie kujua ujauzito wangu utakuwa na muda...
Wife amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuumwa na miguu sehemu ya kukanyagia tokea ajifungue kwa Upasuaji zaidi ya mwaka sasa.miguu huwa inauma hasa wakati wa asubuhi ama akikaa muda mrefu bila...
habari ma greater thinker...kunakaogonjwaa kamenianza kamaa wiki moja hivi,nikienda haja ndogo na hisi kamaa kuna maumivu flani hivii yanatokea kwenye tundu la uume.niki kunguta kunguta uume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.