Naelewa wazi kwamba masuala ya kuzaa ni Mungu ndiye anapanga, pia naelewa kwamba kuna watalam wamesomea taaluma mbalimbali mfano DAKTARI. Nisaidieni wataalam, hivi mwanamke anapogundua kuwa ni...
swali la kwanza:nini hasa kinachochangia kupasuka kwa condoms wakati wa tendo la ndoa??
swali la pili:by any chance mwanamke anaweza kupata mimba akiwa ktk siku ya 22 au 23 ktk mzunguko wake??
Inasemekana mkulima au wakulima wawili wenyejinsia 2 tofauti....kama analima au wanalima bila kuvaa buti miguuni kwenye shamba la tope
la fwaka...fwaka...fwaka ni vigumu sana kupata ukimwi hata...
kuna vipele vimenitokea sehemu ya makalioni...vimekaa mithili ya 'shilingi'..kwa mnaofahamu,,nikivigusa vinatoa maji..na wkat fulani panawaka moto ivi...au kuuma in other words..inaweza kuwa ni...
SOurce: Yahoo friends
This fruit is known as katu aatha in Sri Lanka --please circulate
CANCER KILLER DISCOVERED
Guyabano, The Soupsop Fruit
The Sour Sop or the fruit from the...
Nikikumbuka vipande vipande vyeupe vilivyokuwa vikitoka eneo la tukio, nakosa hata hamu ya kula, na ki-ukweli nashindwa hata kuendelea mahusiano naye, nimebaki njia panda nifanyeje?
Hiyo ndo...
Dear JF Members,
Greetings to you all.
To all those fat dudes and ladies, I have wonderful news for you all. I came across this very useful article on the internet with regards to weight loss...
Am here to announce hao wachina na wajapani mtaani wanaosema eti wanatibu kwa mionzi ni uongo eti wananyonya sumu ni wizi mtupu nasijui nani kawapa vibali maana hivyo vifaa vinge thibitishwa na...
Habari zenu madr wa jf! Mimi nasumbuliwa sana na maumivu ya shingo sehemu ya nyuma yahani kuanziwa kwenye kisogo mpaka sehemu za mabega.
Je tatizo itakuwa nini? Na je kuna tiba yoyote naweza...
Habari wanaJF,
Mimi ni kijana nina miaka 22. Nimekumbwa na personal conflict na inanikosesha raha na wakati mwingine kujiona kama siwezi kuji control..
Ni zaidi ya miaka mitatu (3) sasa, nimekua...
Wanajamii, pongezi kwa kazi za kila siku. jamani nina muda sasa karibu miaka 4, huwa sitoki jasho hata nikipanda milima wakati wa jua kali. natoka jasho jembamba ambalo hata tisheti hailowi...
Hi JF,
Mimi ni baba wa mtoto wa kike anamiezi sita na wiki mbili.
umri aliofikia ni wa kuota meno ila bado hayajaanza kuota lakini anaharisha na inaonekana tumbo huwa linamkata pale anataka...
Unaweza ukaichanganya na dysentry lakini choo ni kigumu na damu mbichi (fresh) huonekana unapomalizia.
Ukifanya lab test huonyesha hakuna infection yoyote wanaripoti kuwemo damu kwenye sample ya...
Kutokana na Muongozo wa Mh Lusinde kuwa ni wakati muafaka wa
kuwapima wabunge wetu,kutokana na hali inayojitokeza bungeni kwa kipindi hiki
ni wazi kuwa wabunge ni wengi ambao ni wagonjwa na wengi...
Multiple myeloma ( Sijui kiswahili chake ) simply ni cancer plasma cells ndani ya bone marrow. plasma cells ni type of white blood cell that produces antibodies (askari mwili) na bone marrow ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.