She now plays and hardly cries unnecessarily after a successful operation that saw her mother, 23-year old Namugenyi Ssempijja smile again. The baby can now urinate six times a day and is in...
Nimekuwa na kijipu kwa juu kwny sehemu za siri na nikaanza kutokewa na utando mweupe mweupe kwny njia kbs ya kwenda ukeni na uchafu ukawa unatoka ingawa haunuki, nikaambiwa nipime HVS (high...
Nawasalimu wote.Jamani binti yangu wa miaka mitatu na nusu ana kanyama kametokea sehemu ya haja kubwa.
Wenye utaalamu au kujua naomba mnieleweshe kwamba je kina madhara yoyote ?na kama ni tatizo...
Salaam kwa waheshimiwa Ma Dr. wetu wa TZ!
Je tunaweza kujitahidi kuyakwepa haya kwa asilimia kubwa ?Mnisamehe kama nimemkwaza mtu-nime copy na ku paste kutoka kwenye yahoo health!
Staying with a...
Nawaslimu nyote jamvini...Naomba kwa yeyote anayemfahamu daktari wa macho jijini A town, nina mtoto ambaye na shida sana ya macho.
Natanguliza shukrani
Elvan Stambuli na Makongoro Oging'
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda (pichani) amepasua jipu na kusema hakuna utafiti wowote wa kisayansi uliothibitisha kuwa dawa za asili...
Waungwana naomba kufahamu. Hivi CCBRT hospital???? (nadhani wanashughulika na macho zaidi??????(sina uhakika) huduma zao ni za kulipia au ni charity organisation charging minimum fee...
Mwenzenu nilipata ajali mwaka jana tar 24/10 ambapo nilianguka na baiskeli huko Iringa. Nilivunjika sehemu ya nyonga karibu na kiuno katika mguu wa kushoto.Nimekwisha hudhuria hospitali tofauti...
Wakuu hivi ni dawa gani inaweza kusaidia kuondoa matiti kwa wanaume?? maana naona ni tatizo linaloongezeka kwa kasi sana na sioni research nyingi zikisuggest njia ya haraka ya kuondoa (apart from...
Nina gonjwa hatari la kupenda ngono,kila mwanamke nimuonapo akiwa barabarani namvua nguo pale pale matamanio yamekuwa mengi kwa wanawake.Je madokta tiba yake nini?
Jana waziri wa afya alitoa tamko ninaloweza kuliita kali dhidi ya tiba ambazo hazijathibitishwa.alisema dawa ya ukimwi bado haijapatikana kwa hiyo watanzania waache kuzikimbilia.tamko hili...
Habari zenu tha great thinkers!
Tafadhalin nimeckia kuna mashine za kuongeza uume ambazo hazina madhara kiafya,hv ni kweli?kama ni kwel zinapatikana wapi?nahitaj mawazo yenu wapendwa!
Nimesikia kuwa kuna uwezekano wa binti kufikia kupata mtoto wakati hakuwahi kushuhudia bikraa yake ikitolewa? Je, hili lina ukweli? na ni mazingara gani yanaweza kusababisha hali hii itokee pasipo...
Masturbation is sometimes called "self love" or "solo-sex". It is a normal and healthy activity, and indeed is the way most adolescents discover what makes them feel good before they embark on an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.