Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Tiba hii inawafaa wapenda ulabu.......
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ninalafiki yangu ambae nijilani yangu, kama nyumba ya 5 kutoka kwetu ktk maongezi alinieleza matatizo yake. Ni mmama mwenye watoto wawili(26) anatatizo lakutoka damu wakati wa kujamiiana na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The odor of dirty socks can be used to lure mosquitoes into a deadly trap before they can spread malaria, a US and Canadian-funded researcher based in Africa said Wednesday. Dr. Fredros...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
WanaJF habari za asubuhi,ninaye mwanangu mwenye umri wa miaka mitatu anapenda sana kunywa maji. Wakati mwingine huweza kuamka usiku kati ya saa saba au saa nane akiomba maji ya kunywa au asubuhi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
APPLE CIDER VINEGAR - GARLIC - HONEY: Miracle Home Remedy ================= Cayenne pepper has also been added to this mix by some. At least these ingredients are not as likely to be on the...
0 Reactions
6 Replies
32K Views
Wana JF,Natanguliza salaam na Heshima mbele, Baada ya kupata habari na kupata ushuhuda wa watu wanaotoka kupata tiba India iwe kwa msaada wa serikali au kwa kujigharimia nimeonelea niwasaidie wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jaman wana jamvi mimi mwenyewe ninatatizo ambalo sijui ninini? tatizo n kwamba huwa napata maumivu sana wakati na baada ya haja kubwa na wakati mwingine huwa naona damu kama nikitumia toilet...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
The patient utters a strange, inarticulate cry, falls suddenly to the ground, becomes pale, then sometimes turns purple, the body trembles violently, the mouth foams, the eyes are shut, and the...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Kwa madkatari wa meno;naomba maelezo kuhusu mbinu mpya inayosifika sana ya kungoa meno itwayo Ogram technique.Je mbinu hii inatumika hapa Tanzania,faida na hasara zake.
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Ni miaka hamsini inatimia toka tanzania ipate uhuru kutoka kwa wenye akili wenzetu wazungu.walituachia chuo kikuu,hospitali tano kubwa ,mahakama,mashamba ya mzao ya kuuzwa nje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wataalamu naomba mnisaidie kunijuza. binafsi napenda sana kunywa uji hasa uji lishe kuliko kunywa chai hasa ikiwa ya rangi. Tatizo nikisha kunywa uji baada ya muda kupita kama nusu saa hivi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kwanini ini ni muhimu? Ini ni ogani ya pili kubwa zaidi katika mwili wako na inapatikana chini ya kizimba cha mbavu kwenye upande wa kulia. Ina uzani wa kama pauni tatu na umbo lake...
2 Reactions
7 Replies
12K Views
Personalize your brain training and get + A customized brain fitness plan + Cognitive exercises tailored to your goals + An estimate of your improvement potential.Your Personalized Plan.The first...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mzee wangu anasumbuliwa sana na nyongo. Je tiba yake ni nini? Naomba ushauri, yaani akila maharage ndo balaa. Wkt mwingine ikizidi mpaka huwa anatapika. Please help
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Du,sorry apo nimechemka! Nimesahau kuweka taarifa yake.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Kama yote hayo Matunda yapo hapo kwetu Tanzania je ni kwanini hatuyatumii kama chakula chetu cha kila siku? nwaombeni mnipe jibu? Matunda...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Tangu mwezi uliopita ninahisi kitu kisicho cha kawaida mwilini mwangu. Asubuhi mashine haishtuki, nikitaka kupiga mechi na mama watoto wakati mwingine njema inagoma kupanda mtungi na wakati...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Sunday, 10 July 2011 10:27 Na Julius Magodi Picha 2 tofauti: Abas akiwa amejipumzisha nyumbani kwao ABBAS Abdalaah (31) aliapoanza kuvimba uvimbe mdogo katika mguu wake wa kulia hakujua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Top Health Myths About Water It can even kill you Water is an amazing substance - we can't live without it and in fact we are mostly made of it. So it is not surprising that a whole bunch of...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
'Virgin surgery' practised in Canada By Kris Sims,Parliamentary BureauFirst posted: Wednesday, July 6, 2011 8:05:26 EDT PM A Toronto OBGYN said many Canadian women who are arranged to be...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom