Jaman naomba kuuliza.mimi nina mchumba wangu na huu ni mwaka wa pili toka tuanze mahusiano lakini cha kushangaza mdada huyu kila tukikutana uwanjani tunawajibika vizuri na wote tunakua tumelizika...
jamani naombeni mnijulishe dawa ya meno naumwa na meno yote kinywani yaani hayataki kutafuna kitu najaribu kupiga mswaki but sipati nafuu sielewi ni nini tatizo, maana yako 2 yaliotoboka lakini...
Kwa kweli naona aibu sana hata kuhadithia matatizo yangu hadharani ila imenibidi.
Mimi ni dada wa miaka 32 ,nimejifungua mwezi uliopita.
Sijui ni kwanini kwa kweli ila kila ninapomnyonyesha...
Too Much TV Linked To Early Death
Watching two to three hours of television a day increases the risk of an early death, type 2 diabetes and heart disease, according to a new study...
Cook with olive oil, add it to salads, and dip bread in it. Those who do are 41 per cent less likely to suffer a stroke than those who never eat it. Researchers using almost 8,000 people have...
Tumbo linaniuma sana tena zaidi ya sana, kama la kuharisha lakini siharishi.
Nimekuwa nikijisikia kwenda haja, lakini mara niingiapo maliwatoni hamna kitokacho, ni mimi na maumivu, naumia sana.
Utibabu wa maradhi ya Cancer kwa kutumia Pili pili (kali sana) pamoja na kitunguu Thom
Piliipili 2 kali sana – hapa Africa itakuwa ni pilipili mbuzi, za Uganda. au pilipili hoho za hapo...
Naandika hii artcle nipo furaha sana ni birthday ya azizah huyo dogo kwenye avatar yangu aliyejuu ya mwenzie mwenye mapengo ni mtoto wa dada yangu, nimecover night shift hospitali ili asubuhi...
By Jerry Okungu
I left Nairobi three weeks ago to seek further treatment for my prostate cancer in Americas advanced cancer institutions.
On arriving in Atlanta on June 20, I spent the...
naomba msaada wa ushauri nifanye nn ktbu maumuv ya misuri katikat ya korodan na kinena.
Maumuv haya hutokea kila nnaposmamisha uume kwa mda halafu nsfanye mapenz.
Natumia miwani tangu 1985. Sioni mbali. Tatizo kila baada ya miaka 7-10 nabadilisha miwani kwa kutumia lensi kubwa zaidi kiuwezo. nimechoka kuvaa miwani. Sasa natumia 'double focus" kwa miaka 8...
Mwenzenu jamani naomba msaada wenu wana JF, mwanangu ana KIGUGUMIZI KIKALI SANA yaani kadri siku zinavyokwenda ndio kinazidi kuongeza kasi. Naomba mnisaidie nifanyeje?? Ila tatizo hili na ujombani...
Bionic Eyes Unveiled At Science Exhibition
Bionic eyes and the latest invisibility experiments are among the exhibits at a science fair in London.
Researchers say the bionic eyes, which are...
Interesting .. we doctors tunakutana na hii kitu kila siku... leo hii nataka ku share na ninyi something about the so called ALLERGIES .....
what is it..?!
Simply naweza nikasema an allergy ni...
wana jf doctor,tatizo langu ni hili sijawahi fika orgasm tangu nianze kufanya mapenzi..na si kwamba mpenzi wangu haniandai vizuri hapana.yani inafikia kipindi tupo kusex nakua km nakarbia fika...
Who Wants To Live Forever? Scientist Sees Ageing Cured
If Aubrey de Grey's predictions are right, the first person who will live to see their 150th birthday has already been born. And the first...