I've been having problems with my stomach bloating recently and I find it's just so frustrating when I wake up with my stomach at just the right size of how I want it to be, then I start eating...
INSTRUCTIONS
1. Take multivitamins. Multivitamins contain nutrients like zinc and folic acid, which are necessary for improving the quantity, quality, and motility of sperm.
2. Eat fruits and...
Nisaidieni maana hadi najiogopa!
Ninakama siku tano sasa nimefikwa na ugonjwa wa aibu tena hata siufaham, katika njia ya haja kubwa kuna kama nyama imetokeza nje ikionyesha kama vile ni ya ndani...
Hi wadau Naombeni ushauri kwa yeyote anafahamu dawa ya kuponyesha vipele vinavyoota chini ya kichwa na kufikia hatua ya kutoa damu na mara nyingine inakuwa vigumu sana hata kuchana nywele. Nina...
Kwakweli ni muda mrefu tangu meno yangu yaharibike(hayajaoza bali yametengeneza utandu kati ya fizi na meno) na sio siri yananikosesha amani ninapokuwa na watu wangu wa karibu. Naomba msaada kwa...
The Sour Sop or the fruit from the graviola tree is a miraculousnatural cancer cell killer 10,000 times stronger than Chemo.Why are we not aware of this? Its because some big corporation want...
NORMALLY MANY WOMEN BECOMES WORRIED DUE TO THIS STATE BUT ALL IN ALL IN NORMAL CASE YOU ARE ADVICED TO DO NOTHINGPregnancy DefinitionThe period from conception to birth. After the egg is...
Sweaty Feet
(Plantar Hyperhidrosis)Most patients who have sweaty hands will also have sweaty feet, known medically as Plantar Hyperhidrosis. Excessive foot sweating can be as severe as hand...
Ayurveda has been here since ages. But with the emergence of allopathy during the early 19th century, Ayurveda was marginalised and tagged as an `alternative medicine' even in the land where it...
Wana jf mie ngozi yangu especially uson inasumbuliwa sana na pimples(chunusi) kila aina ya mafuta nnayoshauriwa bado inaleta usumbuf coz nataka kuwa free from pimples niwe soft kama nyie, kwa...
Habari ndugu wana jf. Rafik yangu wa karibu hivi majuz alikuja kuniomba ushauri. Alinieleza kuwa chuchu za matiti ya mpenz wake zmeingia ndan kama kitovu (kwa vitovu vya ndan) na kuacha kiduara...
Habari zenu ndugu wana JF. Ningependa kuuliza kama mnafahamu kuhusu huu ugonjwa kitoto cha jicho ni nini, na unatokana na nini na matibabu yake ni nini? Mzee wangu amepatwa na maumivu makali jicho...
Katika mkoa fulani mtii huu hutumika kwenye kingo za mipaka,ni mti wa asili,na ni mti wa mila.kama mtu atakuwa kafanya makosa na akakuomba kwa kutangiliza ma/jani lake kimila lazima umsamehe.lipo...
What is goiter?
Goiter is an enlargement of the thyroid gland. The thyroid gland is a small gland located in the neck, below your Adams apple. The thyroid can be enlarged due to generalized...
Habarini ndugu zangu wana JF, kuna hii hoja naileta hapa jamvini kwani imekuwa ikinitia mashaka. Matangazo kuhusu kondom yamekuwa mengi tena yenye kutia matumaini. Kwa kawaida watu wanapotaka...
UKIMWI uligunduliwa mwaka 1981
HIV
Mwaka wa 1981, daktari mmoja wa California Marekani aliona vijana wa kiume watano, walioshiriki katika mapenzi ya jinsia moja, wakiwa na ugonjwa usiokuwa...
wataalum wa afya naombeni msaaada wenu hapa
kwa muda wa siku tatu nilikuwa na mafua makali
kichwa kilikuwa kinaniuma, blocking nose, koo lime
kauka na linakwaruza kila nilikila chochote...